Ni kupoteza muda na wasioaminika akina Mbowe na genge lake ama amina Zitto kusema upige kura kinyume na kuwapa wezi walioji camouflage kwenye kuikosoa serikali na wao wana vinanzi ndani ya macho...
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema...
Wakati vuguvugu la Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 likianza chini kwa chini, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema yupo tayari kugombea urais ikiwa vyama vya upinzani vitampa...
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa...
Mzee James Ndalilwa na Anna Ndalilwa walijaaliwa watoto watatu,Mtoto wao wa kwanza alikua na jina la Sikudhani,Mtoto wa pili aliitwa Bahati na mtoto wa tatu alijulikana kwa jina la Mashaka.Wazazi...
Sioni umhimu wa uchaguzi wa 2020 bwana mkubwa alipaswa aendelee kutumbua tu Na kupiga kazi
Kama uchaguzi utafanyika ni matumizi mabaya ya pesa huyu alipaswa aendelee kuongoza akiamua kung'atuka...
Ameyasema hayo alipokuwa anahojiwa katika kipindi cha East Africa Breakfast Leo kinachorushwa na kituo cha redio cha East Africa.
"Mwenyezi Mungu akitupa Uhai 2020 nitagombea, ila nitagombea...
Naomba kujuzwa tu maana nijuavyo ccm walikuwaga na utaratibu wao maalum kwa mujibu wa katiba yao,wale wenye nia walikuwa wanachukuwa form na kupigiana kura ndani ya chama chao.je wataifuata katiba...
Tundu lissu alishambuliwa kwa risasi 36 na zikampata 16 mchana kweupe eneo linalokaliwa na viongozi wa serikali lenye ulinzi 24/7, akiwa kwenye shughuli za kibunge. Mpaka leo hata mtuhumiwa...
Nimeona thread nyingi zikimponda huyu na kumsifia yule kuhusu uchaguzi wa uraisi 2020..
nikapata wazo , kwanini tusijadili bila ushabiki wa vyama vyetu , kwa maslahi ya taifa letu kwanza kwani...
Kuna watu wanahusisha kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lisu na mbio za urais kwa mwaka 2020. Na miongoni mwa watu hao ni viongozi wa juu wa Chadema.
Hivi kweli Lisu ana ushawishi wa kuweza kuwafanya...
Vigezo anavyotakiwa Kuwa navyo Ni pamoja na
1.Atuambie ni hatua gani mpya atakazochukua za kumaliza kabisa suala la ufisadi ambalo bado linaonekana kutajwa lipo.Atuambie atavitumiaje vyombo...
Tuachane na propaganda sasa,tangu Uhuru nchi yetu imekuwa inaongozwa na wataalam kutoka fani kama za ualimu,wandishi wa habari na nk
Pamoja na juhudi zao hakuna linaloendelea katika sekta ya...
Habari wakuu
Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na...
Washirika wa UKAWA wameijia juu Chadema kutaka itoe tamko kuhusiana na matamshi ya Tundu Lisu Ulaya na Marekani kuwa atagombea uraisi endapo atapitishwa na chama chake cha Chadema.Washirika hao...
Kwa hali ilivyo sasa inaonesha ule utamaduni wa makundi ya kuwania urais 2020 yameshajipanga na yako mkao wa kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu ujao.
hivi karibuni tumeona kumekuwepo...
Nizamu ya vijana kuchukua fomu na kujitosa kuwania nafasi mbalimbali ikiwamo ubunge udiwani na hata serikali za mitaa lengo nikuiendeleza Same yetu na kuiweka katika viwango vya kuvutia wawekezaji...
Hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Naomba nitoe wito kwenu kutonielewa vibaya kwa uzi huu. Lengo langu ni kupata ukweli ili kwa pamoja kama taifa tuone nini kifanyike ili matokeo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.