Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
Uchaguzi mkuu wa 2020 utabebwa zaidi na kura za maoni kwa wagombea wa CCM ambao Kamati kuu ndio imeshika mpini. Jaribu kuangalia tafrani zilizoanza kujitokeza za wabunge kugawa pipi kwa wagonjwa...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020. Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati...
1 Reactions
3 Replies
791 Views
Katika kuhakikisha jimbo la Arusha linarudi CCM. Mhe. Zelote Steven (PhD) ameanza kupiga jaramba kuwania kiti hicho. Wanarusha tumuunge mkono
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Iringa, amewahakikishia wanachama, mashabiki na wakereketwa wa CCM kuwa Chama hakipo...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Ndugu wana jukwaa Kama ilivyoada nawasalimu. Kwa salamu ya wajamaa watanzania sisi.Uzi huu utakuwa maalumu kwa ajili ya kuwatambua watu ambao wameanza kupitapita majimboni mwetu kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Wapo ndugu zetu kati yetu ambao wanapomwangilia Magufuli na utendaji wa serikali yake wanamuona ni mshamba aliyeula. Kwa kejeli zisizo kikomo na dharau zilizopitiliza...
28 Reactions
130 Replies
15K Views
Tufikiri kidogo Magufuli ni nani? . Ni kiongozi ambaye mwenye kuumizwa na rushwa . Ni kiongozi ambaye anaumizwa na kuwakandamiza wanyonge . Ni kiongozi ambaye haogopi kusema ukweli wa mambo kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni Mbowe huyuhuyu anayenyanyaswa na DC wa Hai? Ni Mbowe huyuhuyu aliyewekwa ndani zaidi ya miezi 3 bila dhamana? Ni Mbowe huyuhuyu aliyevunjiwa Bilcanas na kuharibiwa Mashamba? Ni Mbowe...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
TAARIFA YA UJIO WA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI DR BASHIRU ALLY KAKURWA MKOANI TABORA Ndugu zangu wanaCCM tarehe 7 na 8 Disemba 2019 tutakua na ugeni wa katibu mkuu wa CCM katika mkoa wetu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali ya siasa inayoendelea nchini, tunahitaji viongozi makini na walio tayari hata kufa kwajili ya chama, Leo sitaabdika mengi ila nitatoa mtazamo wangu katika ngazi za uongozi kitaifa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Ikitokea mtu awe kiongozi au mwana-CHADEMA akamshauri Mbowe na wabunge wake wagomee uchaguzi mkuu 2020 ajiandae kufukuzwa au watagawana mbao na kukizika chama. Siasa ni ajira na...
19 Reactions
82 Replies
6K Views
Jana tarehe 27/11/2019 Taifa la Kenya limezindua riporti ya tume maalumu inayoitaka serikali ya Kenya kuleta maridhiano ya kitaifa. Kwa sikio langu nimemsikia Rais Uhuru Kenya akisema kuwa Yeye...
1 Reactions
2 Replies
760 Views
Haya ni maoni na mtazamo wangu kama vile wengine wanavyotoa maoni yao kupitia sehemu mbalimbali Uchaguzi mwakani naona ufanyike kwa Wabunge na Madiwani lakini kwenye Urais tusipoteze muda maana...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Duniani kuna njia 3 tu za kutwaa uongozi wa taifa. Njia ya kwanza ni ya mazungumzo. Njia hii mfano mzuri ni Mwalimu Nyerere. Aliitumia akatwaa uongozi wa Taifa. Ni njia ngumu mno inayohitaji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Na. Robert Heriel. Leo baada ya kutoka ofisini nikaamua kujumuika na Ulimwengu kupitia Mitandao ya Kijamii. Hapo nikaona taarifa moja ambayo ilinifanya nitafakari sana. Niliona Video moja yenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni masaa tu, kutoka Sasa watatangazwa wale wanaoitwa wamepita bila kupingwa hapa Kila nikijaribu kutafakari Jambo hili nahisi kizungu zungu na niheri kingelikuwa kihindi Hindi, hebu tujiulize...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tokea mwaka 1992, nchi yetu iliamua kuirejesha nchi hii kwenye mfumo wa vyama vingi na mfumo huo ukaingizwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 3(1) ambayo inatamka wazi...
19 Reactions
105 Replies
11K Views
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa. Naona uchaguzi...
30 Reactions
80 Replies
11K Views
Hii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini . Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata...
13 Reactions
57 Replies
7K Views
Back
Top Bottom