*Lengo awasaidie ubunge Diamond, Babu Tale
Na MWANDISHI WETU
WAKATI homa ya Uchaguzi Mkuu wa Udiwani, Ubunge na Rais likipanda Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) linaloongozwa na msanii Nasibu...
Sitabiri ila ndio ukweli wabunge na madiwani mliopo katika majiji na wilaya zilizo changamka changamka jiandaeni kupokea na kukubali msichokipenda.
Jua liwake au mvua inyeshe kila Mtanzania...
Na Comrade Leonard Waziri
Assalam Alaikum Mabibi kwa Mabwana Katika harakati za kuijenga Tanzania yenye Uchu wa Kupiga hatua kubwa za kiuchumi na kisiasa.
Naomba nitangulize maneno ya Waswahili...
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.
Naiomba...
Amani iwe kwenu!!
Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea
Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa...
Kwa namna upepo wa siasa za Tanzania bara unavyokwenda ni wazi vyama vya upinzani vina nafasi finyu ya kushinda mwaka 2020. Hii inatokana na ukweli kwamba vyama hivyo vimekosa ajenda na hoja...
Mimi naongea haya kwa moyo safi. Nimetoka Mbeya jana. Mara nyingine kabla ya jana nilienda Mbeya mwaka 2018.
Leo hii baada ya ziara ya Mh.Rais Jijini Mbeya na kusuluhisha mambo yake na Wanamkoa...
Huyu hapa kijana anakwenda kumg'oa mbowe kwenye jimbo lake, kijana ni hatari sana. Anajulikana kwa jina la Revocatus Lazaro atasimama kwa kiti cha CCM.
Hivi Watanzania mnahisi kulingana na mazingira ya kisiasa yalivyo hivi sasa, hili linaloitwa "Bao la mkono" linaweza kutumika kuhakikisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa mwaka 2020...
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.
Mwaka huu fursa hiyo...
Natazama hapa mahojiano Mubashara Clouds TV kipindi cha 360 wakimuhoji huyu Mbunge na Mhe 1st Lady Mstaafu.
Ukweli ni kwamba ametulia sana akijieleza kama Mwalimu wa hesabu shule ya Msingi...
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki.
Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema utakapofika...
Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo?
Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi?
Sky eclat
Erthrocyte
Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post...
Baraza la Vijana wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Arusha BAVICHA, limeibuka na kuitaka serikali kuunda tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi Mkuu wa Taifa utakaofanyika...
Kama kweli unahitaji kuendelea kutetea kiti chako, Watanzania wanayohaki ya kufafanuliwa juu ya ahadi zako za mwaka 2015,
1. Mheshimiwa uliuahidi umma wa Watanzania kuwa katika utawala wako...
Kumekuwa na kasumba ya viongozi wa CCM kujitapa kuwa Octoba 2020 wabunge wa Upinzani watang'olewa katika majimbo yao kwa gharama yoyote.
Hiyo gharama yoyote ni ipi? Wizi, rushwa, kutangaza CCM...
Itarejesha mchakato wa katiba mpya bungeni ambao ulio taarishwa na tume ya Warioba .
Kuidhinisha mfumo wa Serikali tatu na kutekelezwa baada ya uchaguzi.
Kuahidi kusimamia demokrasia kuanzia...
Ni mawazo na kutafakari tu! kuna muda unaweza ukapata majibu hata mtaani au maeneo yoyote kila mtu ni mkimya. Sio kimya wa mambo mengine ni ule ukimya ambao leo uwezi kujifanya kimbelembele...
Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe
======
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.