Tumeingia Ule mwaka wa kuamua hatma ya Kata, jimbo na nchi yetu. Sisi Wana Kigoma mjini tumeamua kuachana na mazoea na siasa zetu za kuoneana huruma.
Kwakuzingatia matakwa ya kikatiba na kanuni...
Naona sasa CCM iliyo ndani ya kaburi inakaribia kufukiwa rasmi na Hawa wajuaji wasiojua Siasa japo wengine wao ni wasomi wa sayansi ya Siasa!
Kijidaftali chenye majina ya wateule wa ubunge na...
Mnajua fika kuwa kilichofanyika katika uchaguzi was serikali za mitaa kitarudiwa hivyo hivyo au na kuzidi. Mmejipangaje kukabikiana na hilo?
Nimemsikia Katibu was Baraza la wazee Chadema akisema...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema anawasubiri wazee wampe ridhaa kugombea Ubunge Arusha Mjini
Hata hivyo ameeleza kuwa kwa sasa hana Mpango wa kugombea Ubunge, tofauti na ambavyo...
Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.
Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya...
Vyama vya upinzani chondechonde msije mkakubali kuingia kwenye uchaguzi 2020 bila tume huru.
Hulka na tabia ya jiwe na serikali yake mmeshaiona hawana aibu heshima staha Wala huruma kwenu Wala...
Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.
Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za...
Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa...
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
POLITICSTANZANIATOP STORY
Tanzania elections: Life has got worse under Magufuli. We need change.
BY ZITTO KABWEJANUARY 8, 2020
SHARE:
Opposition leader Zitto Kabwe says the past four years of...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Je, serikali ina majibu ya kuwaeleza Watanzania ambao mpaka leo vijiji vyao havijapatiwa umeme nini sababu inayochelewesha ili hali kila siku...
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga...
Nimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.
Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter...
Watanzania mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu, Tunachagua tena Rais pamoja na wabunge.
Ni mwaka ambao una changamoto kubwa sana katika uchaguzi mkuu hususa upande wa visiwani
Watia nia ya...
Tunakumbushana tu kwamba kwa sasa hapa nchini siasa ni ajira hivyo wabunge na madiwani tegemeeni changamoto kubwa kutoka kwa toleo jipya.
Ndio hao akina Harmonize, Diamond, Juma Kaseja, Mrisho...
Mwaka 2020 ni mwaka wa kufanya uamuzi kuhusiana na utawala na mwelekeo wa taifa letu. Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, mwaka wa Uamuzi Mkuu. Watanzania wataitwa kutoa jibu la maswali makubwa mawili...
Wanabodi, mwaka mpya 2020 umeanza tena, mbilinge mbilinge na udambwi dambwi haviishi hapa kwetu Tanzania. Msoto mwanzo mwisho.
Tuje kwenye mada:
"Hapa Kazi Tu" maana yake ni kufanya kazi kwa...
UCHAGUZI WA MWAKA 2020: Chama cha Wananchi CUF chataka mazingira mazuri
Chama cha wananchi CUF kimetoa wito kwa Rais John Magufuli kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa ili kuweka mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.