Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi? 2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge? 3. Kuna...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Kufuatia hali ya kutokuaminiana katika uendeshaji wa shuhuli za kisiasa ikiwemo chaguzi mbalimbali hapa nchini Tanzania, napendekeza badala ya kuitisha uchaguzi mkuu 2020 iundwe serikali ya umoja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati dunia nzima ikishuhudia uhuni wa hali ya juu, unaofanywa na serikali ya CCM katika kuekekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu, vyama vya upinzani...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kama tujuavyo, Septemba mosi 2019, mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je haya yanayotendeka sasa kuhusiana na huu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani. Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo...
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Haaahaaa! Leo nimepata hisia za uandishi fikirishi. Nawaza ifikapo mwaka kesho 2020 ndani ya chama kikongwe na kikubwa Tanzania cha siasa ambacho ni chama Mama CCM nahisi kutakuwa na damu mpya au...
0 Reactions
9 Replies
910 Views
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa...
16 Reactions
28 Replies
3K Views
Baada ya CHADEMA kujitathimini na kugundua kuwa hawajajiandaa kwa uchaguzi wa wa serikali za mitaa mwaka huu na Kupelekea kujitoa binafsi nawapongeza sana kwani suala la Uchaguzi linahitaji...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Tumaini langu mko sawa !! Ni wiki mbili sasa au pengine na zaidi , tumekuwa tuna kuna vichwa kuwaza ni kwa jinsi gani serikali itaweza kutatua tatizo hilo la watu kutofika katika vituo vya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Imegundulika CHADEMA NA ACT, hawajui kujaza fomu, sehemu za kuandika mwaka na tarehe za kuzaliwa wao wanaandika tarehe na mwaka wahuu wa uchaguzi. Hawajui vitu vingi na CCM imechukua advantage...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi.... Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020, Wananchi hawako...
10 Reactions
173 Replies
14K Views
Sasa ni muda mwafaka kwa profesa Assad kugombea urais 2020 kwa chama chochote tofauti na kile chama kingine Profesa kwenye kipindi chake amesimamia ukweli na kama ni uzalendo ameuonyesha...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanabodi, Kutokana na vitendo vinavyofanywa na viongozi wa serikali na vyombo vya dola kuna kila dalili kuwa upinzani hauhitajiki tena nchini na kwamba mfumo wa chama kimoja ndio unaohitajika kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefuatilia chaguzi zetu za ndani (kura za maoni) ngazi ya Serikali za Mitaa hakika moto umewaka, uliye nje huwezi jua! Kama hawa wenyeji wenye ndugu jamaa na marafiki na michezo yote wanaijua...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Tayari baadhi ya makada tumewasili hapa mkoani Lindi kuja kumpa ushirikiano ndugu yetu Bernard Membe katika azma yake ya kutangaza nia ya kugombea urais. Makada wengi wamefika hapa Lindi...
2 Reactions
878 Replies
85K Views
Nawasalimu Wana JF Nawajulisha kuwa nimefatilia kwa karibu sana mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa ngazi ya Wenyeviti na Wajumbe wake uliomalizika usiku wa kuamkia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi hakuna jambo lolote linalohusu masuala ya kifedha linalofanyika wilayani Itilima bila kuwa na harufu ya upigaji, tangu watu wamalize uandikishaji hawajapewa fedha yao, ukiwauliza...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu Mwita waitara ni aibu na fedheha hata kukupa jina la mheshimiwa naomba nikuite Ndugu tu. Kwa urubuni na maneno uliyotumia ukiwa mpinzani 2015 na kwa dhati ya moyo wako ulijua fika ukabila...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
MOROGORO NYUMBANI. Leo 08:30pm,19/09/2019. Morogoro,Mji kasoro bahari,wenye mito inayotiririka masaa 24 na mabwawa makubwa lakini maji ni changamoto,umeme nao mita kadhaa kutoka mjini bado ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom