Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza. Hayo yamejili Leo kwenye...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza...
5 Reactions
74 Replies
13K Views
Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Hawa jamaa wa upinzani ukiwaangalia body language na matamshi yao kwa ujumla ni watu ambao kila mmoja kuna kitu anachoamini kama kipaumbele chake kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.hivyo msimamo wa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Natoa ushauri tu kwa vyama vya Upinzani kujitafakari na kutopoteza muda na pesa kuweka mgombea urais. Hii ni kwa sababu utendaji kazi wa rais JPM tayari umeshampa ushindi mkubwa. Kudhibiti mianya...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wafanyabiashara wa Mwanza wanaotokea Tarime Vijijini wamkataa Waitara. Jana Tarehe 16/2/2020 Jijini Mwanza- Waitara amefanya kikao cha kampeni na wafanyabiashara wa Bwierege walioko Mwanza ili...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani. CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi. Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020, tunasikia tambo tupu toka kwa viongozi wakuu wa CCM kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo "kiama" cha Upinzani na hatutausikia tena Upinzani ndani ya nchi hii...
16 Reactions
73 Replies
6K Views
Mtandao huo unaongozwa na Mbunge wa Zamani Mtwara Mjini Bwana Asnain Murj, ambaye anataka kumrithisha Kijana wake Kugombea Ubunge Mtwara Mjini aitwaye Shayd ambaye pia ni Mjumbe Kamati ya Siasa...
7 Reactions
52 Replies
10K Views
Wanabodi Salaam! Sina maneno mengi tazameni huu mtiti halafu Magufuli anasema anaweza kuua Upinzani Tanzania, #Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi
19 Reactions
223 Replies
19K Views
Amani iwe nanyi nyote! Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime, Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi...
9 Reactions
37 Replies
6K Views
Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Salaam, RPC Njewike anapaswa kufahamu kwamba Alex Jonas ni Katibu wa Jimbo la Manyoni Mashariki na kwamba nafasi hii haikatazi yeye kufanya kazi ya Bodaboda. RPC Njawike anapswa kujua kuwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Jf! Baada ya kula chakula cha mchana nakushiba kuna wazo limenijia ,nikaona niishauri serikali japo serikali inawashauri wake sasa sidhani kama watapokea ushauri wangu. Binafsi nlikuwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna usemi katika vitabu vitakatifu usemao: Mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii. Hivi watumishi wa umma, yaani serikali, na mashirika yote mnafahamu kuwa leo mpo kazini na...
16 Reactions
67 Replies
6K Views
Nimemsikia makamu Mwenyekiti wa CCM ndugu Philip Mangula juzi akiwa ktk ziara zake sambamba na katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru wakijigamba kwamba,uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Joto likiwa limepanda hadi kufikia nyuzi 360 kwa wagombea wanaotajwa kuwania nafasi hiyo, wananchi wa jimbo la Arusha Mjini wanajadili nani anafaa kuwa Mbunge wao. Wakati hayo yakiwa yaendelea...
2 Reactions
38 Replies
42K Views
Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali . Hofu iliyopo ni...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom