Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono...
Kama wewe ni Mpenzi wa kufuatilia Vipindi vya Bunge basi Malizia Hamu yako kwa kusikiliza Bunge Hili la Sasa.
Nasema hivi kutokana na Ukweli kwamba sioni dalili njema kwa Wapinzani kupita katika...
Sisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.
Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida...
Iko haja sasa ya Mkuu wa Itifaki wa Chadema kuchukua uwakilishi wa Wananchi wa Vunjo wanaomuamini na ambao walimtaka tangu 2015 .
John Mrema ndio chaguo la Vunjo tangu awali lakini alikaa kando...
TAHADHARI!! KORONA IKO MTAANI SASA PAMBANA JUU CHINI USIISHI KIMAZOEA.
Kwenye mada
Kwanza kabisa jimbo la Moshi Vijijini halijawahi kuwa miliki ya chama chochote cha siasa yaani hakuna chama...
Diwani wa ccm Martin Munisi kutoka Kata ya Machame Wilayani Hai ,Mkoa wa Kilimanjaro amejipanga kukimbilia Mahakamani kufungua shauri Mahakama Kuu kanda ya Kilimanjaro kutaka ahirisho la uchaguzi...
Kwa mtu mwenye kufikiri kwa kina na kujiuliza mara kadhaa kabla ya kufanya uamuzi,ni wazi angeitumia kauli ile ya watu kufananisha na ng'ombe wasio na mkia kama hatari au ishara ya hatari kukubali...
Katika hali ya kushangaza Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza ameonekana Bunda Mjini akigawa pesa hadharani.
Huku akiwa na mabaunsa, wapambe na wanakwaya...
Habarini za asubuhi wanajamvi?
Kama ambavyo vyama vya upinzani viliungana 2015 na kutengeneza neno UKAWA na hatimaye kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015 basi kwenye...
CHADEMA baada ya kuona Sera zote muhim walizo kua wakizitoa kwa wanach Apo awali zote zimesha fanyiwa kazi na CCM wameona ni Bora kubadili Aina ya siasa zao kutoka siasa za majukwaan mpaka maigizo...
Sisi ni Taifa moja lenye umoja mshikamano, lenye lugha moja upendo na amani, lenye kuamini usawa na demokrasia,
Tuzingatie umoja wetu mwaka huu wa uchaguzi,
Isije kuwa mpinzani akishidwa basi si...
Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni.
sababu za utafiti....
Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa...
Hello JF,
Kwanza ni-declare interest: Mimi ni muumini wa kile kinachowezekana hata kama hakifurahishi kuliko kile kinachofurahisha lakini hakiwezekani.
Kutokana na muundo wa tume huru...
TLP KUUNGANA NA CCM
Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga...
Ndugu zangu poleni na matatizo ya hapa na pale ya kimaisha hasa hili gonjwa la Corona.
Mwenyezi Mungu ajalie lipite na lisilete madhara katika nchi yetu nzuri Tanzania.
Wakuu Sana Kama tujuavyo...
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM...
Huyu jamaa katika kundi lake la WhatsApp linaloshughulika na Maendeleo ya Jimboni kwake Iramba ameandika hivi:
"Hi ni nia tu, Campaign Bado.
Mimi Eng. Jumbe Katala bado nafasi yangu ya...
Tanzania ni nchi yetu sote kwa umoja wetu sisi kama watanzania, nchi hii itajengwa na kuendelezwa na watanzania wote bila kujali tofauti zetu.
Linapokuja suala la kuijenga nchi, tofauti zetu za...
Shehe wa mkoa wa Dsm, Alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya Taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.
Sheikh Salum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.