Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo...
2 Reactions
8 Replies
518 Views
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha...
39 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu. Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa...
9 Reactions
34 Replies
948 Views
Mimi sitaki kusema mengi, jionee mwenyewe Pia soma: Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo CHADEMA kuchangisha...
25 Reactions
73 Replies
4K Views
Mambo mengine yanachekesha Sana, utadhani hawa Watu hawawasiliani.
10 Reactions
28 Replies
2K Views
"Katika siasa tulizonazo za ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi hatujamuona Mwanasiasa mkongwe mwenye uwezo na utashi mwenye Upendo kwa watu kama alionao Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu...
0 Reactions
4 Replies
277 Views
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu". Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X. Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi...
5 Reactions
72 Replies
5K Views
James Mbowe amesema Demokrasia ya Chadema ni kubwa sana ndio sababu mchungaji Msigwa ameweza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwashutumu viongozi wenzake bila kuwa na ushahidi wowote Mbowe amesema...
10 Reactions
78 Replies
3K Views
Ni Ukweli ulio wazi Mikutano ya Tundu Antipas Lissu huwaga na Uhalisia na hata kama kuna sehemu BAVICHA wanamtengenezeaga Maigizo basi huwa wanatumia akili Kubwa. Mara nyingi Tundu Lissu...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
UMASIKINI,huu ndio mtaji mkuu namha 1 kwa CCM na hawa watu hawako tiyali kuona umasikini unaisha Tanzania. Umasikini ni mtaji mkubwa sana hasa wakati wa kampeni, kuna watu huhongwa viberiti ka...
10 Reactions
17 Replies
586 Views
UVCCM KUENDELEA KUENZI MAHUSIANO YA KIDUGU YA CPC YA CHINA NA CHAMA CHA MAPINDUZI Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC)...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Katika uongozi hii ni moja ya kanuni nzito sana ambayo mara kwa mara nimekuwa nikiirudia mara kwa mara. Kama wewe ni mtendaji au kiongozi mahali fulani, na unaona kuwa kiongozi wako (bosi) anasema...
26 Reactions
155 Replies
14K Views
Serikali imenuia kupunguza mzigo wa gharama za michango kwa wazazi wa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano. Serikali imeweka ukomo wa michango kuwa Sh80,000 kwa shule za bweni na...
0 Reactions
6 Replies
637 Views
#Updates Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO. Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ufisadi umeshamiri. Mawaziri wa Serikali ya awamu wametajirika. Taarifa ya CAG inasisitiza UFUSAFI wa kutisha na hasara za mashirika na taasisi za umma Serikali ya Rais John Pombe Magufuli...
3 Reactions
6 Replies
415 Views
Nilikuwa natafuta namna moja ya kuelezea mgogoro ambao ninao na Idara hii nyeti ya Ikulu kwa muda mrefu. Mgogoro ambao tayari umeshawahi kujadiliwa hapa mara kwa mara lakini itoshe leo niuweke kwa...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. ---...
8 Reactions
144 Replies
6K Views
Kwa wale ambao huwa wanapita pita Jamiiforums kwenye jukwaa la siasa, nadhani watakuwa wamekutana na bandiko langu ambalo nilikuwa ninatoa malalamiko kuhusu utendaji kazi wa Kurugenzi ya...
14 Reactions
142 Replies
16K Views
Naamini kabisa Watawala wanatembelea maneno ya Jomo Kenyata kwamba kule Tanzania Nyerere anatawala Maiti. Jomo Kenyata alikuwa sahihi sana na aliona mbali au alishaona kabisa kwamba kule Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
653 Views
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM). Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza...
4 Reactions
114 Replies
2K Views
Back
Top Bottom