Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Mwakilishi wa Serikali ya Burundi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Maendeleo ya Jamii na Usalama wa Raia, Theofile Ndarufatiye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wa Serikali wanazungumza na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 6, 2024...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje? Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja...
0 Reactions
7 Replies
351 Views
Serikali yetu tukufu imejaa wanafiki wa kupindukia. Inalia machozi ya mamba na watanzania huku nyuma wakila kwa urefu wa kamba zao na wachina. Nimefuma hiyo hapo juu mahali fulani ili wabunge...
3 Reactions
4 Replies
514 Views
SERIKALI KUJENGA SHULE 56 ZA MICHEZO NCHI NZIMA, KILA MKOA KUPATA SHULE MBILI Akijibu swali namba 559 la Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro; Waziri wa Utamaduni...
2 Reactions
4 Replies
526 Views
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Naam, Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo. Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney. Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania...
224 Reactions
1K Replies
331K Views
Jamaa alifikia wakati wa kujiona ni zaidi ya kiumbe wa kawaida, alikuwa anabwabwaja tu huku akiwa anawezeshwa kwa njia zisizo halali. Vi-memo vya kipuuzi vilitumwa kwenye Wizara na Taasisi kadhaa...
66 Reactions
228 Replies
35K Views
Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni). Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya...
13 Reactions
34 Replies
9K Views
Nimesikia kuna Mwamba kalamba Uteuzi akiwa Kaburini. Ni siku nyingi wadau tumepiga kelele juu ya huu MFUMO wetu wa kujitawala kwamba umepitwa na wakati na NI WA KIKOLONI, cha kushangaza CCM...
4 Reactions
3 Replies
268 Views
Mtu anayeteuwa marehemu atakuwa kasaini mikataba mingapi bila kuisoma? Maana Kila mahali anazunguka na kusaini mikataba je Inatusaidia Nini sisi kama watanzania maana hadi Leo Kuna shule wanafunzi...
1 Reactions
2 Replies
351 Views
Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba amesema Kwa kipindi chake hatokubali kuona Maskini wanaendelea kitozwa Kodi kwenye biashara vidogo vidogo wakati matajiri wanatumia mbinu kukwepa Kodi...
2 Reactions
20 Replies
623 Views
Habari yako mhe. Tundu Lisu? Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Kwamba Dola inapatika kwenye soko lisilo rasmi "black market" ila Kwa bei ghali zaidi ya bei halisi ya soko hivyo kulazimisha Waagizaji wa bidhaa hasa Mafuta kuanza kutumia euros. --- Importers...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
69 Reactions
211 Replies
7K Views
Huyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM?
26 Reactions
340 Replies
117K Views
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume anasema wapo Wazanzibar original lakini Wazanzibar Wengi ni Watu wa kuja Wenye asili nyingine Fatma anataja Wazanzibar Wengi Wana asili ya Malawi...
2 Reactions
1 Replies
309 Views
Wakuu wangu heshima mbele kama kawa, ninaomba kuweka mpya kutoka Dodoma:- 1. Leo asubuhi Mbunge Chenge, alichukuliwa na polisi na kuepelekwa kituo cha polisi Dodoma mjini, kwa mahojiano ya muda...
1 Reactions
707 Replies
86K Views
Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini...
16 Reactions
52 Replies
2K Views
Back
Top Bottom