Kwa siasa za Kenya Raila Odinga ndio kiongozi wa Chama chake tangu nyakati za Moi, akaja Kibaki, akaja Uhuru Kenyatta na sasa William Ruto na hakuna tatizo kabisa make anasimamia idea yake.
Nani...
Madame President Samia Suluhu Hassan went to the Korea-Africa heads meeting,but is it really fair for African Presidents to be summoned like children by a single head of state?It should be noted...
Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa wamefunga ofisi ya umoja huo wakilalamika kutoridhishwa na utendaji kazi wa Katibu wao, Aizaki Mbuya.
Vijana hao wamefanya...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu sio kuwa namchukia Mheshimiwa Mpina au napingana na uhuru wa kutoa maoni.
Nimeleta hoja hii ili nipate majibu kutoka kwake kutokana na kauli zinazoikosoa...
Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili:
Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa...
Habari za wakati huu waungwana wa JF.
Kutokana na hali ilivyo kwa sasa nchini, imeniwia vigumu kuelewa na kupata maana halisi ya neno uzalendo.
Kumekuwa na makundi mawili ya watu, wale wanao...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50.
Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X...
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa...
Mifano kwa CCM iko wazi akiingia Mwenyekiti Mpya anaanza Kusafisha Sekretarieti ya Chama na kuingiza Jamaa na Rafiki zake kadhalika Chadema itakuwa hivyo
Sasa wale wanaolisha na kusomesha watoto...
Nii hilo tu
Maana Press ya Ikulu wanapoongea Mawaziri ilhali nao Wana Wasemaji wa Wizara inapunguza ile ladha ya Taarifa
Taarifa ya Ikulu iwe ya Ikulu halafu hao Mawaziri nao pamoja na Kafulila...
Rais Samia alipokelewa kikawaida tu wakati Mfalme wa Uarabuni ndege yake ilipoingia tu Anga la Korea ilipokelewa na ndege za kijeshi na kusindikizwa Hadi ilipotua
Maskini ana mapokezi yake na...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu...
Pipoooooooooooozi
Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa...
1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma
2. CHADEMA...
Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina...
Nimekuwa nikifuatilia mtifuano wa kipropoganda kwenye mitandao kwa sasa mashambukizi ya CCM yako vizuri asilimia 60 mara Msigwa alibeba chupa ya damu ya Lissu, mara Lissu anaanzisha chama kipya na...
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa, Komredi DEBORA JOSEPH TLUWAY ni miongoni mwa viongozi vijana wa UVCCM...
Fuatilieni hiyo interview hapo chini.
Watangazaji walioshiriki kipindi hiki ni mfano wa waandishi wa habari wasiojiongeza.
Na kwa bahati mbaya wamekusanyana wote wakiwa na MITIZAMO inayofanana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.