Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ndugu Nape Nnauye, akizungumzia mafanikio ya safari ya ujumbe wa Rais Samia nchini Korea Kusini amesema kuwa...
Wenzetu wamepiga hatua kubwa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali...
A Parody* of Presidential Eloquence – Kejeli ya Umahiri wa Majibu ya Rais
Na. M. M. Mwanakijjii
A Parody: (Dictionary.com)
–noun 1. a humorous or satirical imitation of a serious...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Korea Mei 31 hadi Juni 6 mwaka huu kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais wa Korea, Yoon Suk Yeol, ziara ambayo ni hatua...
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Dar es Salaam, Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewaondoa wasiwasi watanzania rasilimali za nchi ziko salama kabisa, zile habari...
Waziri wa Ardhi Jerry Slaa amewatia mbaroni watu watatu wakidaiwa kuwa ni matapeli sugu wa Ardhi Wilayani Temeke ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayo milikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameliambia Bunge kuwa amemuandikia barua Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG kuwa ripoti yake kuhusu mfumo wa mbolea ya ruzuku kuwa seva iko kwa...
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA
Mobhare Matinyi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Dar es Salaam
Juni 4, 2024.
Saa...
Kinyume kabisa na ilivyotabiriwa na Tundu Lisu na Zito Kabwe kwamba Tanzania ikithubutu kuhoji na kubadili sheria mbalimbali za madini ikiwemo makinikia itakuja kushitakiwa MIGA na kukimbiza...
Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa...
Mkuu wa wilaya ya pangani, Zainab Abdallah ambaye ni mke wa pili wa Waziri wa Maji, Juma Aweso ameelezea historia ya maisha yake kwamba mwaka 2016 aliteuliwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano...
Wakati Chadema wakipiga picha na kunywa chai kwenye Ikulu ya Chamwino iliyojengwa na Magufuli, upande mwingine aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam bwana Paul Makonda amefika kwenye balozi za...
https://www.youtube.com/live/qQ_4w2DCSSY
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Doyo Hassani Doyo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, Juni 11, 2024.
Doyo anakwenda kumrithi...
Hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa.
Muungano wa aina...
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
MAALIM Hassan Yahya Hussein, amepinga kauli iliyotolewa hivi karibuni na mtabiri mwenzake kuwa rais wa mwaka 2015 kuwa atakuwa mwanamke.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.