Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake. Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro. Mbowe tumia...
1 Reactions
5 Replies
419 Views
Katika mazingira ya kisiasa, uwepo wa vyama vingi vya siasa ni ishara ya demokrasia na uhuru wa kisiasa. Hata hivyo, idadi kubwa ya vyama vya siasa inaweza kuleta changamoto za kiutendaji na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
My Take Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/ == Katika jitihada za serikali za...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa. Kwa upande wa sekta...
13 Reactions
76 Replies
8K Views
Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani...
2 Reactions
2 Replies
378 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo. Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo...
3 Reactions
12 Replies
862 Views
Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024 Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria...
0 Reactions
6 Replies
467 Views
Just imagine, yaani mkandarasi anasemwa na waziri kwa kuchelewesha kazi hadi mkandarasi anazimia kabisa, huu si uuaji jamani? Na ni udhalilishaji pia, hayo ni maoni yangu. Angalia video hapo...
17 Reactions
225 Replies
39K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa...
4 Reactions
220 Replies
8K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
7 Reactions
138 Replies
7K Views
Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimepitia picha mbalimbali walizopiga viongozi walipotembelea Korea Kusini walikoenda kusaini mikopo sijaona Waziri wa Fedha na uchumi akionekana Je, kwa wataalaamu wa uchumi hili jambo ni...
1 Reactions
4 Replies
483 Views
MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu...
0 Reactions
12 Replies
522 Views
Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Jana nilikuwa na mjadala wa kina wazalendo mwenzangu kuhusu mchakato wa uchaguzi wa wawakilishi wetu na mianya ya wizi wa kura ambayo ama imewekwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya lakini wajanja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi...
38 Reactions
140 Replies
14K Views
Tofauti na miaka mingine yote, kwa sasa watumishi wa Umma wameamka kutoka usingizini. Wengi wao wameshagundua kuwa, mtetezi wao mkubwa si Wabunge wala serikali bali ni Viongozi wa vyama vya...
3 Reactions
5 Replies
522 Views
Back
Top Bottom