Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS...
1- Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
2- Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa...
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.
Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.
Pia hata...
CCM kushinda 2025 Inahitaji kura kuu 2 TU!
a) Kura za wanawake ambapo inatakiwa link kati ya wanawake na CCM, ndo sababu ya Jokate Mwegelo kupewa UWT. Mind you mtu alozaliwa 1990-1994 ni Mama na...
Wasalaam team.
Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe na kuteuliwa kuuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu,
Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17 Majimbo...
Tulioshuhudia NCCR ikisambaratika kama tikiti maji lililotupwa kutoka ghorofa ya 50, sasa, kwa macho yao, watashuhudia anguko la chadema.
Chama hicho ambacho kinajinasibu kwa kula rushwa...
Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi Mkuu miongoni mwa mambo niliyosikia kutoka kwa baadhi ya watu ni kuwa wameuza kadi zao za kupigia kura kwa koasi cha 5000 mpaka 15000.
Mmoja wa aliyekuwa...
Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa...
Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa...
Kila safari atayofanya Rais , lazima itaambatana na kisainiwa kwa mikataba ya kiuwekezaji kwenye Rasilimali zetu.
Dunia ya sasa idadi ya watu inaongezeka na hii inafanya rasilimali kuwa adimu...
Kila kukicha uchumi wetu unaporomoka. Leo hii Dollar moja ya Kimarekani kwa ubadilishaji(exchange rate) inakimbilia kuwa T.shs.3,000. Wenzetu wa Kenya juzijuzi fedha yao ilikuwa inabadilshwa...
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.
Kwa wabongo waliopigika...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi...
"Wakati wanajeshi wakilinda mipaka ya nchi kizalendo, wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu, je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?"
CCM na Chadema wanatakiwa waungane walikomboe hili...
Sehemu ya hotuba ya Rais Kikwete inayothibitisha kuwa hana mawazo ya kuinua hali ya maisha ya watanzania bila ya kukinga mikono kwa nchi matajiri; asilimia 99 ya mambo anayotaka nchi matajiri...
Sasa nimeamini kuwa misemo ya wahenga ilikuwa inafanyiwa utafiti kabla ya kuidhinishwa.
Kwa nini kwa muda wa miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu 2025 kumekuwa na kampeni kubwa kumtangaza "mama"...
Wajibu mkuu wa Spika wa bunge ndani ya bunge ni kuwa msimamizi "moderator" wa mjadala.
Ni jambo la kushanga na kituko kuona spika wa bunge katika bunge anachukua upande mmojawapo katika midahalo...
Tumepewa Maneno mengine na maushahidi:
1. Eti bandari zote kapewa/Kauziwa mwarabu wa Dubai?
2. Eti misitu hecta 80,000,000 ameuziwa mwarabu wa Dubai kuvuna hewa ya ukaa?
3. Eti mbuga za wanyama...
Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani.
Hili ni la msingi sana tuweke...
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti.
Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.