Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
This guy Luhanga Mpina Ningependa kujua huyu jamaa ana impact gani hadi kila muda atawale humu JF.
0 Reactions
7 Replies
314 Views
Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH 4, WAMESHINDA KESI LEO TAREHE 4/6/2024 MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM MBELE YA JAJI MHINA POLISI WAMEWACHUKUA “Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu na...
1 Reactions
13 Replies
640 Views
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya...
7 Reactions
93 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kusimamishwa kiholela kufanya kazi za uwakili iliyomkumba Wakili Mwandamizi Mheshimiwa Mpale Mpoki ambaye alikuwa...
18 Reactions
35 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Songea amesema Misaada kutoka Nje ina Masharti magumu na yanayoumiza DC alikuwa anatoa salamu za mkoa kwenye Ibada ya Kanisa Halisi jana Jumapili DC ametoa mfano wa Nchi ya...
2 Reactions
14 Replies
982 Views
Hivi wasanii kwa kaliba yao na ubutu wao wa uelewa, kuna la maana wanaweza kulijenga ktk meza ya majadiliano yahusuyo sera, mipango, mitazamo ya sanaa na mustabari wake? Kulikuwa na haja gani ya...
2 Reactions
4 Replies
200 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amesema tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze ni yeye peke yake ndio amewahi kuchaguliwa kama mbunge kutoka chama cha Upinzani, Dodoma ndio Kabisa wanachagua...
1 Reactions
3 Replies
433 Views
Tundu Lissu akiendeleza ziara yake mkoa wa Singida katika kijiji Nkungi wilaya ya Mkalama ameendelea kutoa elimu ya Urais. Lissu amesema "Ukandamizaji ni mfumo pacha na unyonyaji, nchi hii sio...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Nauliza tu kwa wale Wahenga wezangu nini ilikuwa nguvu ya Azimio la Arusha hadi viongozi wakaliogopa kweli kweli Je, lilikuwa na nguvu kuliko Katiba ya Tanganyika/Muungano? Nimekaa pale 🐼
0 Reactions
6 Replies
259 Views
Teknolojia imekimbia na inaendelea kukimbia kwa kasi kubwa. Kazi kubwa na maboresho makubwa yamefanyika kuhakikisha TANESCO inatoa huduma bora. Ni muda sahihi kwa sasa mtu ukinunua umeme uingie...
4 Reactions
7 Replies
592 Views
Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya. Ni hivi wakuu, mimi kwa...
1 Reactions
2 Replies
267 Views
Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
36 Reactions
237 Replies
9K Views
Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Baadhi ya wanachama wa Chadema akiwemo Kamanda Maranja wamesema wanashangaa kuona TV za CCM zikijazana nyumbani kwa mchungaji Msigwa kuripoti Mkutano wake Maranja amesema TBC, Channel ten, Ayo TV...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe. Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo siasa hutaziweza njoo CCM upate pumziko la kweli la kisiasa. Mbowe...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Back
Top Bottom