Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua. Akiongea hayo mjini Musoma leo...
71 Reactions
618 Replies
76K Views
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga, Bw. Fadhili Nkurlu kuanzia leo Julai 15, 2018 Nafasi yake inachukuliwa na Bw. Anamringi Macha aliyeteuliwa leo.
3 Reactions
285 Replies
68K Views
Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba. Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Watu waliohujumu wenzao na kupora kura za Uchaguzi Mkuu wa 2020 hawana tofauti na watu wanaohujumu wenzao katika chaguzi zao ndani ya vyama. Kama Chadema watasahau machozi na maumivu ya kuhujumiwa...
2 Reactions
2 Replies
346 Views
Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa...
3 Reactions
5 Replies
392 Views
Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana...
9 Reactions
86 Replies
6K Views
Natamani niwashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa vyenye nguvu nchini ilikujenga Bunge lenye checks & balance. Ili kutekeleza hilo lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya...
6 Reactions
107 Replies
4K Views
Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi...
0 Reactions
15 Replies
941 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, CHADEMA wanaendelea kutuonesha kuwa hakuna wanaloliweza. 1. Uongozi wa kifalme: Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu. Hili ni tatizo katika uongozi wao. Hata kama katiba...
0 Reactions
10 Replies
297 Views
DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kipindi wimbi la wapinzani kuunga mkono juhudi,ilikuwa ni project moja ya kushangaza sana, Kulikuwa na dalili zote za wapinzani kununuliwa,unaitwa Ikulu unasomewa dhambi zako za kukwepa kodi TRA...
2 Reactions
7 Replies
551 Views
UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K. Anaandika, Robert Heriel. Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha...
54 Reactions
176 Replies
9K Views
Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii...
3 Reactions
15 Replies
698 Views
Kiuchumi; Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana...
0 Reactions
8 Replies
314 Views
Kwenye picha akiwa na wenzie. Wakijadiliana mambo ya msingi kwa mataifa haya mawili.
3 Reactions
19 Replies
884 Views
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu...
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Tundu Lissu akihutubia katika mkutano wa hadhara jimbo la Singida Magharibi amedai kuwa wanasiasa wanaomiliki timu za mpira wanatakatisha pesa. “Tunatakiwa tujiulize viongozi wetu wakuu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
1. Mwenyekiti yupo kimya anaonekana kwenye makongamano tuu ya TCD na aina iyo. Hakuna kauli yoyote toka Kamati Kuu ikae 2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake (sio kitaasisi) huku...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom