Imekuwa ni jambo la kawaida sana Kwa shirika la utangazaji la TBC, kukata matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine.
Kwa mfano hivi leo, weshakata mara mbili, matangazo mbashara...
Askofu Mwamakula amesema Waliohujumu na kuiba kura kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 hawatofautiani na wanaohujumu wenzao Katika Chaguzi Ndani ya Vyama.
Kama CHADEMA kitasahau machozi ya 2020 na...
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM chama Dume amesema Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama jasiri na profesa wa Siasa Samia S.Hassan ndio awamu pekee Iliyoongoza kumwaga na kumimina mabilioni...
Nimefuatilia kidogo kilichotokea Afrika Kusini nikakumbuka hoja ya Baba wa Taifa kuwa mpinzani wa kweli wa kisiasa Tanzania, atatoka ndani ya CCM.
Mwaka 1995 Lyatonga Mrema (RIP) alipojitoa CCM...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri...
Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana.
Wametatua kero ngapi...
TUUNGE MKONO JUHUDI ZA MHE RAIS SAMIA - BALOZI YAKUBU
Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Watanzania wanaoishi nchini Comoro...
Kwa Ufupi,
Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuapa tarehe 19 March 2021 akamteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu.
Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na...
DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama
Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba...
Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania
Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa...
wakuu nashangaa sijackiwa wanaojiita wasomi kama akina Bansen Bana wakiongelea uchaguzi wa Arumeru..........au kwakuwa ccm imedondoka ndo maana wafuasi wasomi wa ccm hajajitokeza? na zile...
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana...
Miradi yote mikubwa ya ujenzi kama barabara, maji, SGR na umeme imesimama kwa sababu ya Serikali kukosa fedha za kulipa wakandarasi. Mfano kwa SGR lot 3 na 4 Kampuni ya Kituruki imesimamisha...
Ukweli unaendelea kudhihirika ya kwamba Mbinu ya uongozi anayotumia mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Makonda ndio the best way.
Alizomewa na kupigwa majungu, waliomfitini wanarudia kutenda kwa...
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani...
Nimekaa na wazee hapa, wananiuliza maswali ya kihistoria.
Swali waliloniuliza ni hili la Njaa ya legulegu iliyoikumba Kanda ya ziwa! Ilikuwa ni mwaka gani?
Miaka ya nyuma kidogo uliibuka mvutano baada ya kuusemekewa kuwa ukanda wa bahari unaoizunguka Zanziba una mafuta. Kuna sauti za nguvu sana zilizosikika kutoka Zanzinbar zikidai kuwa hata kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.