Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mamia ya wananchi wamemiminika katika viwanja vya Ofisi za Halmashauri ya jiji la Dodoma kutatua madhila ya ardhi yanayowakabili ili watumie ardhi na muda wao kwa shughuli za kiuchumi kujiletea...
2 Reactions
7 Replies
530 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na ziara zake huko vijijini, kwa lengo la kuelimisha Wananchi kuhusu masuala mbalimbali. Leo ilikuwa kijiji cha Ibaga ambako wananchi...
2 Reactions
19 Replies
779 Views
Wadau nawasalimu.Wakati TEC wametoa WARAKA BORA kuhusu Sakata la BANDARI kuna Watu Walijitokeza Majukwaani na kwenye Mitandao ya Kijamii kuwakejeli TEC kuwa Wanachanganya DINI na SIASA jambo...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amesema Wizara yake imetoa Leseni 9805 za Betting sawa na 82% ya Lengo Source: Ayo Tv
0 Reactions
3 Replies
265 Views
Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianze kwa kumpongeza Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kwa uwasilishaji wake mzuri wa hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka...
4 Reactions
5 Replies
800 Views
Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa...
12 Reactions
332 Replies
24K Views
Hakika sikutegemea kabisa kanisa kubwa kama KKKT lingeendesha uchaguzi wake mkuu tena wa kumpata kiongozi mkuu wa kanisa ktk style ile ile ya katakata wagombea kama alivyofanya Ramis Magufuli...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Imekuwa inanishangaza sana ni sio vibaya kusemana kimaendeleo. Wenzetu wa kanda ya kati hasa mikoa ya Dodoma na Singida wanapenda sana sana uongozi hivyo usishangae kuwaona kwenye uwaziri hata...
4 Reactions
5 Replies
425 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
11 Reactions
230 Replies
8K Views
Kama unabisha fanya utafiti viongozi Wote wasio na Chembe ya Uzalendo hawajawahi Kupata mafunzo ya Kijeshi Pale UK baada ya changamoto ya Hamas iliyoitoa Dunia usingizini, PM Sunak amesema Kila...
4 Reactions
13 Replies
467 Views
Za jioni. Jpm akaenda kwenye usingizi wa milele, Rais Samiah akashika hatamu katika kipindi kigumu sana, akatuvusha na Amani ikatawala Hadi sasa! Leo maandamano ya upinzani na mabango yao kila...
0 Reactions
3 Replies
316 Views
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi...
3 Reactions
10 Replies
441 Views
1. Mimi natambua kuwa, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba na kisheria comes 2025 General Election, uwezekano wa CCM kutumia uhuni kushinda uchaguzi tena ili kuendelea kuongoza serikali na...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam! Naomba nitambue kuwa JamiiForums ni msitu mkubwa uliojaa viumbe hatari na inahisiwa hata Aliens kutoka anga za juu wapo humu. Baada ya utangulizi huo, natumai magwiji mtaingia jikoni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni ombi muhimu, mwenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi ,,- TANAPA Juma Kuji . Aiweke hapa!
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeona maandiko mengi huku mitandaoni yakijaribu kuonyesha kuna uadui au kambi mbili kubwa zinazokinzana kati ya Mbowe na Lissu. Hizi propaganda zimefika mbali kiasi kwamba sasa hata chaguzi za...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Tunawahitaji sana benevolent dictators wengi sasa kuliko wakati wowote ule. Nchi zetu zinahitaji ukombozi mkubwa wa kiuchumi kwa nguvu kubwa na nidhamu ya hali ya juu kuliko wakati wowote ule...
4 Reactions
21 Replies
633 Views
Back
Top Bottom