Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nawakumbusha tu Mzee Cleopa Msuya alipeleka Umeme kijijini kwao huko milimani Upareni kiukweli alilaumiwa kila kona Basil Mramba naye akapeleka barabara ya Lami kijijini kwao Rombo alishambuliwa...
1 Reactions
8 Replies
471 Views
Akiwa Babati Manyara katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi ametatua kero za Wananchi hadi usiku wa manane Kituo kinachofuata ni Arusha kwa Mwamba mwenyewe wa Lucas 😂 Nawatakia Dominica Njema 😄
2 Reactions
6 Replies
443 Views
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na...
1 Reactions
8 Replies
502 Views
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo...
17 Reactions
62 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigullu anesema hatavumilia kuona Wafanyabiashara ndogo ndogo wanalipa Kodi huku kukiwa na matajiri kibao walioshindwa Kesi kwenye Mahakama za Kodi lakini hawajalipa Dkt...
2 Reactions
13 Replies
564 Views
"Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji, nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa. Namimi nikiwa...
0 Reactions
2 Replies
430 Views
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Tangu mwezi wa 11 mwaka Jana, Serikali ilituambia kuwa kipaumbele chake cha kwanza ni viwanda. Leo ni mwaka unaelekea kuisha, sioni hata dalili ya hicho kiwanda.sasa hivi wamekuja tena na mpya...
5 Reactions
104 Replies
9K Views
Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani Kelele zilianza...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya Uteuzi wa Dkt Mwigulu Nchemba ambae pia ni waziri wa Fedha kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mipango pameibuka minong'ono mingi hasa huku mitandaoni. Wanong'onaji wanahoji ni kwanini Rais Dkt...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimefurahia kuona kila mkutano wa Mhe. Nchimbi wananchi wamevaa nguo mpya za chama ila wale walio vaa nguo nyingine wamevaa zilizochakaa. Hii inaonyesha wazi kwamba wananchi wanapenda mavazi ya...
0 Reactions
3 Replies
322 Views
Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko amesema mahitaji ya umeme Nchini Tanzania sio anasa bali ni jambo la lazima kwasababu kuna uhusiano wa moja kwa moja wa maendeleo ya Wananchi na...
0 Reactions
4 Replies
388 Views
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo? Je tukisema...
18 Reactions
88 Replies
9K Views
Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari! Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea. Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya...
22 Reactions
109 Replies
8K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema lilitokea tatizo kidogo kwa michango inayopitia M-Pesa lakini tatizo hilo limeshatatuliwa hivyo michango inaendelea kupokelewa. Hadi sasa...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya...
8 Reactions
81 Replies
2K Views
Kuna kosa moja kubwa linavigharimu vyama vya upinzani Tanania. Na kosa hilo limekuwa kama mwiko kulizungumza. Ni kuwa vyama vya upinzani havijabalance mizani ya dini ndani yake. Ni mwiko na...
0 Reactions
11 Replies
441 Views
Back
Top Bottom