Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) imeweka kigingi na kukataa kuidhinisha makubaliano ambayo yalifikiwa baina ya Timu ya Majadiliano ya Serikali na Wawekezaji wa Mradi wa uwekezaji wa...
0 Reactions
15 Replies
933 Views
Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani? Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure. Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi? Au wamekosea nini hawa raia...
3 Reactions
5 Replies
222 Views
Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu...
6 Reactions
89 Replies
3K Views
Zanzibar katika mambo yake yote wanzungumzia kuhusu Zanzibar na siyoTanzania bado kuna element ya kufanya mambo yao kama Zanzibar na siyo Tanzania na viongozi wengi wanatamani muungano uendelee...
1 Reactions
4 Replies
302 Views
Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Matumizi Mabaya ya Madaraka ni suala mtambuka linalohusisha matumizi yasiyo sahihi ya mamlaka aliyopewa mtu, au kundi fulani hasa katika nafasi ya utawala au uongozi. Matumizi Mabaya ya...
1 Reactions
1 Replies
361 Views
Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu...
17 Reactions
166 Replies
5K Views
Sijajua katika hayo mambo manne Tanzania tunakwama wapi?!🐼 Watu tuko zaidi ya million 60 Ardhi ina kila kitu Mazao, Misitu, Madini, Mito, Maziwa, Wanyama, Bandari, nk...nk Siasa Safi tunao CCM...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Mohamed Said ameelezea mara nyingi namna Wazee wa Pwani walivyomtoa Nyerere Darasani Kwenye chaki na kumuingiza Siasani hadi akawa Waziri mkuu na hatimaye Rais Mwinyi na Mkapa inajulikana...
1 Reactions
4 Replies
291 Views
Wanajamii, Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu. Ona Afrika...
3 Reactions
8 Replies
911 Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye ni mtu Muungwana na mfuatiliaji sana wa majukumu Nchimbi amesema mwaka 2005 akiwa DC Bunda tena kijana wa miaka 31 alienda...
4 Reactions
12 Replies
763 Views
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa. Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla...
4 Reactions
89 Replies
3K Views
Kamkeni ya wape mipira na jezi wakupe kula imeanza rasmi mkoani Singida. Wabunge wameanza kampeni hiyo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu. Katika kampeni Hii tunategemea kushuhudia wabunge...
2 Reactions
2 Replies
236 Views
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi. Taarifa kamili hii hapa Pia...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Heshima sana wanajamvi, Nimekuwa na utaratibu wa kutembelea hifadhi zetu za wanyama kwa muda mrefu sasa labda huu ni mwaka wa 10 au zaidi. Nimetembelea hifadhi ya Serengeti zaidi ya mara nne au...
14 Reactions
33 Replies
1K Views
Siku chache baada ya RC Makonda kuelekeza TAKUKURU wamweke ndani Mtendaji Kata ya Bwawani na asipewe dhamana kwa tuhuma za kuchukua rushwa milioni moja; wananchi wa kati hiyo zaidi ya mia mbili...
21 Reactions
70 Replies
4K Views
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema. Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda...
22 Reactions
144 Replies
6K Views
Huko bondeni kwa Madiba hali ya chama kilicholeta uhuru ANC ni mbaya sana tangu kuanzishwa kwake. Kwa mazingira haya hakiwezi kuunda serikali kwa sababu kimekosa 50% ya kura zote zilizopigwa...
6 Reactions
16 Replies
816 Views
Back
Top Bottom