Walimu wasio na ajira tangu 2015 mpaka sasa wameanzisha umoja wao wakiilalamikia Serikali kwa nini wanakosa ajira ilihali mapato ya Serikali yameongezeka.
Wameenda mbali na kufanya ulinganisho wa...
WanaJF!
Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye...
Wakuu nimeona nivema nikawapa majina ya kamati kuu mpya ya CHADEMA ili wale wasioifahamu basi waifahamu.
1.Freeman Aikael Mbowe -Mwenyekiti
2.Said Amour Arfi (MB)- M/Mwenyekiti Bara...
Wakuu
Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Mh. Zitto Kabwe,
Kwa heshima na taadhima naomba nikuzungumze pamoja na wasifu wako.
Ni wasifu gani alionao Zitto Kabwe?
Kijana, Msomi, Mwanaharakati, Mwanasiasa, Mwanataaluma, na kadhalika...
Nakuhurumia Zitto Kabwe05/02/2014|
Kwa wasomaji ambao hawakubahatika kuisomamakalahii, basi watambue kuwa iliandikwa na SAMSON MWIGAMBA Desemba 9, 2009. WakatihuoMwigamba alikuwa na mtazamo huu...
Huyu jamaa anaonekana hana shida na mtu, ni mchapa kazi na hana kambi. Kwa umri ni mdogo kuliko hata baadhi ya mizee ila anaonekana kujiheshimu sana (hata kujizeesha kiasi fulani). Ninacho jiuliza...
Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za...
I. USULI
Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu...
Kwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni...
Mheshimiwa Chalamila ni Mcha Mungu kabisa, Mara ya Mwisho nimemuona kwenye TV akiwa kwenye Madhabahu ya Mwamposa, Ninatarajia kauli zake ziambatane na Ukweli, kama wacha Mungu wengine...
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mapambano dhidi ya rushwa kwenye...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake...
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala...
Wakuu,
Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili watu 13, wakihusishwa na uharibifu wa noti zenye thamani ya Sh4.6 bilioni, bado unaendelea.
Kesi hiyo, ambayo imekuwa ikifuatiliwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.