Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na...
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna juhudi za kuhamisha mwelekeo kutoka kwenye kampeni ya 'No Reforms, No Election'. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Mnyika amesisitiza kuwa...
Chadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu...
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion
Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar...
Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla.
Chanzo: Wasafi FM
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania...
Wakuu,
Tunaposema kuwa CCM inawaogopa zaidi wazungu kuliko wananchi na vyama upinzani tunamaanisha mambo kama haya.
Swali la kujiuliza, ni kwanini Wasira "anaihakikishia" Marekani Uchaguzi kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko katika safu ya uongozi kwa kuwahamisha wakuu wa wilaya wawili na kuteua viongozi wapya kwenye nyadhifa...
Awataka wanachama waendelee kukijenga chama chao
Afafanua yanayotokea ni tofauti za fikra, mawazo
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Hatimaye Mbunge wa Kigoma Kaskazini...
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge...
Habari!
Hii taarifa imenipata nikaona niilete kama ilivyo.
My Take: Yani wanataka kila kitu serikali iwaandalie yani hadi Future yao kweli?
Mbunge wa Mchinga (CCM), Salma Kikwete ameishauri...
Zile presha za kupanda na kushuka ni mambo ambayo yalitawala kwenye uchaguzi.
====================
“Nilikuwa na furaha lakini kubwa zaidi nilikuwa na ahueni kuwa sasa imekwisha tumemaliza, zile...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi...
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa ya Leo
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais...
Rais Samia Suluhu ameingia madarakani tarehe 19 Machi 2021 baada ya kufariki kwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli. Hadi leo tarehe 2 Julai 2022 Rais Samia Suluhu ana siku 470...
Nikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili...
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA...
Wanachopitia Chadema ni muhimu kwa taifa nzima
1. Kutaa kununuliwa kwa pesa kupitishwa kwa baadhi ya viongozi na wame wa Covid 19
2. Kuanza kutafuta utaratibu wa kujiendesha bila kutegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.