Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The...
Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu
Wageni kutoka...
Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election'...
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya...
Wakuu
Hivi wananchi wanarogwa na nani? kwanini haya mambo hufanyika kipindi cha wagombea wakiwa wanataka kurudi tena Bungeni na hatustukii hili kama ni kulaghaiwa tu!
==
Washiriki wa shindano...
Wananchi wa Jiji la Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha, Katibu Tawala wa Tanga, Dalmia Mikaya na Mbunge wa Tanga...
Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua.
Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari...
Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua.
Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari...
Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma...
Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.
Mkutano huu...
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na...
Swali la John Marwa: Wabunge mmefanya kwa nafasi gani kuiwajibisha serikali ikiwa mpo wa chama kimoja bila upinzani
Eric Shigongo: "Mimi nimeenda bungeni nikijua kazi zangu ni tatu ya kwanza...
Tanzania yavunja rekodi tena Kash Patel ambaye mama yake ni mtanzania ateuliwa kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la FBI Marekani na Trump
Huyu ni wa pili baada ya waziri mkuu wa uingereza Rish...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC...
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye...
Kuhadaa na kuchochea wanainchi kupoteza haki na uhuru wao wa kuchagua na kuchaguliwa kua viongozi kwenye maeneo yao kupitia uchaguzi mkuu wa kikatiba nchini kwasabb tu wewe kama kiongozi wa chama...
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio...
Askofu wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Dayosisi ya Nyeri amesema Serikali siyo Wakala wa Matangazo ya Biashara hadi Viongozi wakuu wawe wanajisifia kila siku
Hiyo ni kazi ya Machawa kama...
Wakuu,
Jana nilikuwa kwenye ile page ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Mpaka sasa hii tume imeshapita Zanzibar, Arusha, Pwani, Songwe, Ruvuma na Rukwa na kuanzia Machi 1 wataanza kuandikisha wapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.