Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika...
"Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge...
Salaam, Shalom!!
To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI...
Wakuu
Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee?
Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama
==
Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu...
Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu.
Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu...
"Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu...
Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika.
Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka...
Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na...
Kidumuuu chama!!!
Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu...
Hellow Tanzania.
Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu...
Wakuu
Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!
===
Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga...
Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo
Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;
"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa...
Wakuu,
Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki?
Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.
Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan...
Hellow!
Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu.
Sasa matukio yafuatayo na...
Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao...
Salaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa...
Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.