Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai...
Tundu Lissu kWa sasa ni mlemavu, hiyo no reform no election ni mkakati wake ili tupambane na dola tuumizwe tuwe kana yeye, mwenzetu kila baada ya muda anaenda kucheki afya ulaya, mm hata nauli ya...
Ndio tulivyotambulika kama Walinzi wa Amani Africa Mashariki Kati na Kusini
Lakini Taratibu namuona Ruto ananyemelea hiyo Fursa mfano Leo kaongea na Marekani na kupewa Maagizo jinsi ya kumalizia...
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali...
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili...
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora...
Nadhani Hali ya Uchumi kwa Vijana imekuwa ngumu sana
Napendekeza Shirika la Bahati Nasibu la Taifa lifufuliwe lilikuwaga Morogoro road jirani na makao Makuu ya UVCCM
Pili atafutwe mrithi wa...
Wakuu,
wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa...
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi...
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao
Huyu Ndiye...
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi.
Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma...
Ndugu Othman Masoud Othman
Assalam aleikum.
Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali...
Akizungumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.
Rais amesema kwamba uwekezaji...
Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua.
Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari...
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndug John Heche kueleza jana kuwa CHADEMA wanaenda kuweka ushahidi na kuuelezea Umma namna taifa hili linavyoibiwa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo tenda za...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.