Wakuu,
CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu.
Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa.
Yaani mnasifia hadi mnaboa.
==================================
Mbunge wa Jimbo la...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayoandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) tarehe 8...
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri...
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza...
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya...
Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma salamu za pongezi kwa Kiongozi wa Japan, Mfalme Naruhito, katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 65.
"Kwa niaba ya...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo!
Simple Mind Discuss People
Ordinary Mind Discuss Events
Great Minds Discuss Ideas。
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna...
Wakuu,
Yaani hii sera ya No Reforms No Elections inaonekana inawatesa sana hawa CCM.
Huyu ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Geita. Hapa alikuwa anazungumza kuhusu kaulimbiu ya CHADEMA ya No Reforms No...
Wakuu,
Mwanasiasa na mwanaharakati mashuhuri, Dkt. Wilbrod Peter Slaa, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Tanzania impatie dhamana akisubiri rufaa yake ya jinai kusikilizwa.
Ombi hili limewasilishwa...
NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la...
Wakuu,
Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
Binadamu yeyote ana hatua anazopitia, na watu hutofautiana namna wanavyozipitia hatua hizo na wakati wa kuzifikia.
Kuna watu huzeeka mapema na wengine huchelewa.
Lakini la muhimu zaidi ni kuwa...
Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo)
Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini
1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider)
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.