Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Kumekuchaa kumekuchaaa, kumbe watu watoto Tanzania nzima wanalipiwa ada na Rais Samia na hamsemi:BearLaugh::BearLaugh: ==== Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
2 Reactions
3 Replies
191 Views
Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa...
125 Reactions
551 Replies
80K Views
  • Redirect
Baada ya kugawa pikipiki nchi nzima, sasa hivi wanagawa madaftari ya mama huko mashuleni. Kwanini haya madaftari yaje mwaka huu 2025? Tunawafundisha nini watoto wetu?
1 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000...
3 Reactions
122 Replies
3K Views
Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa...
1 Reactions
2 Replies
119 Views
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu. Nchi haina umoja Nchi ni tajiri sana Nchi haina jeshi hata la watu laki moja Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea...
23 Reactions
140 Replies
3K Views
Wakati wa msiba wa Shujaa Magufuli baadhi ya Wapagani walishangazwa kitendo cha heshima za Mwisho Kwa jeneza kupitishwa barabara kuu Kumbe hata Waarabu utaratibu wao ndio huo huo Al Jazeera...
0 Reactions
4 Replies
216 Views
Wanasema hatuna ahadi ya utii kwa tajiri Trump wala Elon Musk, bali Serikali ya America.
2 Reactions
7 Replies
382 Views
Kwenye mahafali ya Chuo kimoja hapo Kenya Mbunge amesema mahakama kuu inafunga AI 400 hivyo watuhumiwa hawatahitajika tena kwenda na Wanasheria Binafsi sijaielewa kabisa hii Rais wa TLS mh BAK...
4 Reactions
12 Replies
287 Views
"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile...
8 Reactions
12 Replies
353 Views
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga...
2 Reactions
10 Replies
384 Views
  • Redirect
Wanamuziki wa bongo fleva wanaounda kundi la muziki la Samia Kings ambao ni Chege, Madee na Ay, wakitoa burudani katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, ambako Rais...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanamuziki wa bongo fleva wanaounda kundi la muziki la Samia Kings ambao ni Chege, Madee na Ay, wakitoa burudani katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, ambako Rais...
0 Reactions
Replies
Views
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa! Swali kwanini kwa kipindi hiki...
56 Reactions
328 Replies
118K Views
Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa...
2 Reactions
4 Replies
137 Views
Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais...
2 Reactions
3 Replies
180 Views
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu...
30 Reactions
365 Replies
6K Views
Wakuu, Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi...
1 Reactions
11 Replies
347 Views
  • Redirect
Moja ya kazi za Wanasiasa ni kuchekesha Ndio sababu Mwalimu Nyerere na Mzee Makamba walipendelea kutoa vichekesho Kwanini Chadema imekosa Tuzo? Au wameonewa?
0 Reactions
Replies
Views
Wafanyakazi wa serikali ya Marekani walipokea barua pepe Jumamosi alasiri ikiwauliza waorodheshe mafanikio yao kutoka ya wiki iliyopita au wajiuzulu, ikiwa ni katika juhudi za serikali ya Trump...
2 Reactions
6 Replies
305 Views
Back
Top Bottom