Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%,
Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni...
Hawa Watatu Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini na Jokate aka Kidoti Wana Vipawa na Vipaji bobevu katika Sanaa hivyo kama wasingeingizwa Siasani ni wazi Tanzania ingekuwa zaidi ya...
Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana!
Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
Karibuni.
Pasco
Ni kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliharibiwa na baadhi ya watendaji wa Serikali kiasi kwamba ukaonekana ni hovyo.
Ndiyo maana akina Lissu wanapojenga hoja ya mabadiliko kabla ya uchaguzi...
Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria.
Katika kipindi hiki cha kuelekea...
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;
1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na...
BAADA YA TUZO YA WACHEKESHAJI. SERIKALI NA WADAU IANDAE TUZO ZA WAANDAJI BORA WA MAUDHUI MITANDAONI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Niwapongeze waandaji wa Tuzo za Wachekeshaji 2025...
Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda...
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa.
Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji...
Wakuu,
Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe...
Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii.
Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa.
Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu.
Imagine watu...
Huu ni muda wa kuyafanyia marekebisho baadhi ya masuala ya uongozi.
Hawa viti maalumu ambao wengi wao ni ndugu wa viongozi wakubwa hawana mchango wowote kwenye mchakato wa kibunge.
Wao...
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila.
Je, kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania?
Je, kuna uhusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.