Ndugu zangu Watanzania,
Nchi na Maendeleo ya Nchi yoyote ile yanaanza kwanza kujengwa kichwani na ndipo yawekwe katika karatasi na hatimaye utekelezaji. Hata nyumba inajengwa kwanza kichwani...
Je,
huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi?
Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila...
Heshima sana wanajamvi.
TRA wametangaza ajira mpya 1,574.
Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada...
Sasa kila kitu mnaweka picha ya mama, as if watu hawamjui Rais kwa sura hii ni too much, but anyway mkifikia kwenye magari msinisahau.
========
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha Japhari...
Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1.TAA
2.TCRA
3.PPRA
4.BRELA
5.EWURA
6.TACAIDS
7.SUMATRA
8.TANROADS
9.TAKUKURU
10.TRA.
11.MKUKUTA.
12.MKURABITA.
13.HESLB
Baadhi ya Taasisi...
Kwa Sasa ndiye Afisa Mtendaji mkuu wa NMB
Benki yenye Mafanikio makubwa sana
Amekuwa akisifiwa sana na Rais Samia Kwa Utendaji Wake Uliotukuka
Sabato njema 😃
Kwako Lucas Mwashambwa
Wengi wanaweza wasielewe ili mabadiliko yoyote yafanikiwe Tanzania ni lazima yapate Baraka za kutosha Kutoka Kwa Wazanzibar na SMZ
Muundo wa nchi ya Tanzania ni wa Serikali mbili ile ya Zanzibar...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa...
Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya...
Wakuu
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM...
Kuna vitu vinaumiza, unapoona watu wazima na akili zao wanaamua kuwa machawa sijui wanadhani wa Tanzania wore mazuzu!? Unasifiaje kazin ya Samia Miaka mine Barbara nyingi zimesimama hazijengwi...
Mheshimwa Rais.
Umesikika ukiagiza vyombo vyako kufanya uchunguzi wa masuala ya utekaji hata hivyo nasikitika kukwambia kuwa
1. Vyombo vyako haviaminiki tena
Tangu jeshi la polisi na mamlaka...
Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980.
Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuchunguza ushiriki wa Jeshi la Polisi kwenye masuala ya...
This review was originally published at www.thechanzo.com
Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist".
By Katundu Kassim.
The German philosopher Georg Wilhelm...
Kuvunja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi, ngoma zinalia kwa sauti kubwa sana. Kinachotendeka ndani ya USAID kinawatafuna wengine. Mzee Trump shikamoo, Restless Development kimewalamba barabara...
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?
Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi...
Leo tena nimewasikiliza (NETO), Umoja wa Walimu Wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za Mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele!
CCM...
Katika hali iliyotafsiriwa kama kuhakikisha Mahusiano mazuri na Makundi yote ya Kijamii, Chadema imekutana na Mashehe Jijini Arusha na kufanya nao mazungumzo, Yaliyofuatiwa na Dua kabambe.
Zaidi...
Wanabodi,
Hii ni nikuu kutoka bandiko langu hili Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.