Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara na Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Nyamongo wameiomba Serikali kuwachukulia hatua waliohusika na vifo vya wananchi baada ya kutokea mgogoro katika eneo...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi...
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali. Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan anaapishwa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 6 kufuatia kifo cha Rais John...
31 Reactions
572 Replies
50K Views
Kichwa cha Uzi kinajieleza chenyewe Niwapongeze Wana Nyasa kwa ukomavu wenu wa kisiasa na hasa nikielewa katika Kanda zote za Chadema DP World aliviogopa sana Nyasa hasa hapo Mbeya kwa akina mkuu...
0 Reactions
2 Replies
317 Views
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Nawazungumzia Balozi Ammy Mpungwe, Balozi Dr Asharose Migiro na Balozi Ombeni Sefue Hawa ni wazee kwa umri lakini wanaijua Dunia kulingana na majukumu waliyopitia na akili inachoka haizeeki...
2 Reactions
10 Replies
473 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600 Source Mwananchi Vijana Msilale...
18 Reactions
86 Replies
5K Views
Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya...
25 Reactions
77 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena...
2 Reactions
99 Replies
4K Views
Wanyonge wanaomba majina, mkoa gani na je , mbona huwa hamuwataji? Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amesema baada ya ukaguzi, wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu kwa kushtakiwa...
2 Reactions
5 Replies
554 Views
Waziri wa Ardhi anapojiona yeye ni zaidi ya mahakama siyo utumishi mzuri. Jukumu la wizara yake nikutoa haki ya umiliki wa ardhi. Yeye siyo mahakama kwamba anaweza akahukumu kuita watu majina ya...
2 Reactions
3 Replies
464 Views
Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa. Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi...
3 Reactions
6 Replies
786 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali iko mbioni kupeleka Bungeni pendekezo la chanzo kipya cha mapato kitakachowezesha Wizara ya Ujenzi kupata fedha itakayotumika kusaidia...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimesikitishwa sana na ninachoona mtandaoni kuhusu watu wa Karatu kukumbwa na mafuriko na nyumba zao kuzingirwa na maji. Mungu awatangulie kwenye hiki kipindi kigumu. Lakini nimeshangaa imekuwaje...
2 Reactions
14 Replies
458 Views
Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani...
2 Reactions
3 Replies
300 Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
22 Reactions
159 Replies
8K Views
Back
Top Bottom