Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii --- Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki...
11 Reactions
39 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila...
3 Reactions
33 Replies
781 Views
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda. Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Hili swali nalielekeza Duniani kote ambako Utaratibu wa kuapisha Wabunge kwa kutumia Vitabu Vitakatifu Vya Mitume wa Mungu wa Mbinguni unatumika. Kwa upande wa Rais haina shida kwa sababu...
0 Reactions
17 Replies
567 Views
CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia. Mimi ninawasihi wasikate tamaa kwenye nyakati hizi ngumu ila nao wajishushe na kwenda kumwomba msamaha...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa msimamo huo bungeni Dodoma jana kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa hapo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Janet Mahawanga (CCM). Mbunge huyo...
0 Reactions
5 Replies
651 Views
I Had The Opportunity To Participate In The 15th Mwalimu J.K Nyerere Intellectual Festival At The University of Dar Es Salaam Library Auditorium (ULA). The Theme of the Festival Was "The Youth...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao. Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi...
2 Reactions
11 Replies
785 Views
Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa...
2 Reactions
1 Replies
236 Views
Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia hoja zinazotolewa Kwenye kikao Cha Bunge kinachoendelea, nilichogundua ni kuwa karibu wabunge wote wanalalamika, kuwa ahadi zinazotolewa na serikali za maendeleo Kwenye...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo. Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
7 Reactions
157 Replies
3K Views
Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo. Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka...
0 Reactions
21 Replies
928 Views
Ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi wa umma, amedhulumu uhai wa watu wengi Sana. Amezuiwa kuingia US, amefilisi raia, sijui kwanini huyu amepewa nafasi wakati hata aliyemfuga alimuogopa kwakuwa katili...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoros amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
Gambo amuonya Mkuu wa wilaya mbele ya Makonda, asema ameshindwa kazi Kuna kiongozi mmoja, alisema eti mambo hayaendi kwasababu ya mgogogro wa mbunge, Baraza la Madiwani na Wataalamu, haya...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa...
1 Reactions
4 Replies
505 Views
BODI YA MFUKO WA BARABARA YAKUSANYA MAPATO KWA ASILIMIA 77 Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na...
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Back
Top Bottom