Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi...
Rwanda ni nchi ndogo ya milima na isiyo na bandari pia ina idadi kubwa ya watu kulinganisha na eneo lake. Ni tofauti na Tanzania ambayo ni nchi kubwa ardhi ya kutosha mali asili kibao na ukanda wa...
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine...
Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao...
Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Viongozi wa CCM kuzunguka kona zote na kuwaletea Taarifa za Viongozi wabovu na wezi Ili wawashughulikie kungali Mapema
" Msije kutulaumu wakati wa...
Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far"
Salam za Shukrani amezitoa...
Kama anachofanya Makonda ni udhalilishaji watanzania wameridhika na huo udhalilishaji.
Kama anachofanya Makonda ni ubabe huo ubabe ndiyo watanzania wanautaka sasa.
Kama anachofanya Makonda ni...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, leo tarehe 30/5/2024 wamewasili Mkoani Mara kuelekea Wilaya ya Tarime kwenye mgogoro Kati ya Wananchi...
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika...
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania...
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2...
WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA
Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili...
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.
Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti
Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu...
1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina...
Paul Makonda smewajibu wale Wanaodai anawadhalilisha wanawake Kwa kudema hawezi kumvumilia Kiongozi mzembe. Kwmaba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 inatosha.👇👇
My Take
Unafuga kinyago harafu...
Katika wale Wabunge 19 Wenye mgogoro na Chadema wako waliogombea kwenye Majimbo na walipata kura nyingi tu japo hazikutosha mfano Mdee, Kaboyoka, Bulaya, Jesca, Makamba, Mwaifunga nk na kwa Kanuni...
Nampongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule kwa utumishi wake uliotukuka. Tumpe mtu maua yake anapostahili sawa na tunavyowakosoa.
Sifa kuu za DC Mtambule ni hizi:
1. Msikivu sana...
Anajua kazi ya Wizara ya Ustawi wa Jamii,Jinsia, Walemavu na Watoto aniambie maana naona Makonda Toka akiwa Mwenezi alikuwa anafanya hii kazi.
Wao wanaliowa Mishahara Kwa kaiz hizo na hawafanyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.