Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa...
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona Kama unataka matokeo ya Uchaguzi...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria...
12 Reactions
55 Replies
5K Views
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia; 1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali...
10 Reactions
130 Replies
6K Views
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀...
4 Reactions
118 Replies
7K Views
Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya nyasa ninawasihi wenzetu katika demokrasia kumchagua kwa kishindo Joseph Mbilinyi (Sugu). SUGU ANATOSHA. Sababu ni zifuatazo; 1. Hana njaa ni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo...
48 Reactions
177 Replies
11K Views
Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma. Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na...
1 Reactions
4 Replies
335 Views
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato. Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua. Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika...
13 Reactions
194 Replies
16K Views
CHARITY BEGINS AT HOME. Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea...
9 Reactions
185 Replies
19K Views
Baraza la Maadili leo limeendelea kuhoji viongozi wa umma wanaotuhumiwa kupata mgao wa fedhza kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow ambapo leo hii mtumishi wa Ikulu,bwana Shabani Gurumo nae...
13 Reactions
199 Replies
32K Views
Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya...
0 Reactions
11 Replies
429 Views
Watumishi wengi wa umma ni watu waliojariwa kwa vimemo wengine ni mahawara wa viongozi ,watoto wa viongozi, wapwa wa viongozi, watoto wa mahawara wa viongozi, mashemeji, wajukuu na marafiki. Hii...
4 Reactions
24 Replies
878 Views
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni. Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
18 Reactions
63 Replies
5K Views
Mheshimiwa Spika, Awali ya yote naomba nimpongeze Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuph Makamba (Mb) Naibu Mawaziri, Makatibu Mkuu na watumishi wengine wa...
2 Reactions
3 Replies
801 Views
Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa...
25 Reactions
87 Replies
6K Views
Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom