Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji...
Katiba ibadilishwe kumuzesha Rais kutimiza maono yake ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi awamu iwe miaka 7 ukomo nafasi husika ya uondolewe
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaslisha maoni yangu...
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makonda kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona...
https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk
SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi...
Waziri wa mambo ya nje January Makamba ameliambia Bunge kuwa Nchi 6 zimesimamishwa na Umoja wa Africa kutokana na Jeshi kupindua Serikali halali za kidemokrasia
Nchi hizo ni Burkina Faso, Niger...
Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama.
Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM...
Na Thadei Ole Mushi
Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge.
Twende sawa hapa.
1. Mbunge hulipwa mshahara...
Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna...
Kuna Mabalozi wengi sana wa Mataifa mbalimbali ambao wanawakilisha Mataifa yao hapa Tanzania.
Lakini baadhi ya Mabalozi wanafanya kazi nzuri iliyotukuka kushinda Balozi zetu. Baadhi ya hao ni...
Kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania ni nini?
Dispensary ya Kijiji cha Nahukahuka halmashauri ya Mtama mkoani Lindi ujenzi wake unahitaji tsh million 68 na Wananchi wamejaliwa kuchanga tsh million...
1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati...
Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama.
Kwa mfano Bunge...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji.
Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
Hakika nichukue nafasi hii kumpongeza kwa dhati Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa kwa Maamuzi Magumu anayoyachukua katika Wizara yake.
Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zenye WATENDAJI WA OVYO SANA...
Fikiria Urefu wa kamba ya Afisa Mifugo, anatoka ofisini anakwenda minadani anakusanya Tozo jumla ya tsh million 9 na haziwasilishi serikalini mwaka mzima, DED anaposikia Shujaa Mdogo RC Makonda...
Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA
Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara...
Mbunge Felista Deogratius Njau akichangia mada kuhusu Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amesema majengo kadhaa ya Ubalozi wa Tanzania yamechakaa likiwemo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.