Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders; 1. Burkina Fasso 2. Kenya 3. Rwanda 4. Cote d' Voire aka Ivory Coast 5. Uganda 6. Senegal 7. Guinea 8. Niger 9. Mali...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
COMORO KUMUUNGA MKONO DKT. NDUGULILE KINYANG'ANYIRO CHA WHO - AFRIKA Serikali ya Comoro imeahidi kuunga mkono ugombea wa Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile katika nafasi ya Ukurugenzi wa Kanda wa...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Huyu kijana alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM , akafanyiwa figisu mbaya sana na kunusurika kutekwa . Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa...
0 Reactions
4 Replies
692 Views
Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa. Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Nchi hii ina jumla ya mikoa zaidi ya ishirini na sita, napenda kutambua ubora wa wakuu watatu wa mikoa ambao ni hazina kwa taifa letu 1. Paul Christian Makonda -Arusha 2. Said Mtanda - Mwanza 3...
15 Reactions
62 Replies
3K Views
MOROGORO: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imebaini mbinu chafu zinazotumiwa na baadhi ya mawakala kuwaibia wateja wao pindi wanapohitaji kufanya miamala ya...
1 Reactions
11 Replies
932 Views
Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya! Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa kauliza makonda dhidi ya Wanawake na kusema mke wake ni mzuri kuliko yule dada mpaka dada wa watu akapata trauma, ile ni tabia hii tunayo jadoli hapa? Narcissism: Hii ni sifa ya kupendezwa...
0 Reactions
6 Replies
557 Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya. Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna...
24 Reactions
89 Replies
7K Views
Waziri Jerry Silaa ameongea kitu kikubwa sana aliposema Mhalifu mmoja analindwa na Jaji( Mahakama) Kibiblia Jaji ni Wakili wa Mungu wa mbinguni anayesimamia Haki na siyo vinginevyo Binafsi huwa...
0 Reactions
2 Replies
289 Views
Ni wizi,ni unyonyaji,ni unyanyasaji, ni kero. As long waliokiweka wao hawajakuwekea ni UBINAFSI wa kiwango cha juu sana kwenye taifa la watu wanaohubiri HAKI. DemokrasiaYetu ina watunga sheria...
12 Reactions
21 Replies
884 Views
kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo...
0 Reactions
4 Replies
327 Views
Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira. Paul Makonda anapendwa...
1 Reactions
4 Replies
630 Views
JK KINARA UTAFUTAJI FEDHA ZA KUIMARISHA ELIMU AFRIKA Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka...
0 Reactions
4 Replies
390 Views
https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
8 Reactions
75 Replies
6K Views
✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu? ✅Mbinu gani hutumika? Zinaibwaje kura husika? ✅Wahusika wa wizi ni nani hasa? ✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini...
1 Reactions
11 Replies
396 Views
Wanabodi, Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, ila kuna wachache ni analytical wenye uwezo wa kuchambua, kuchakata na kufanya analysis ya...
64 Reactions
499 Replies
57K Views
=== Na Mwandishi Wetu, Morogoro UAMUZI wa RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan kuibeba kwa uzito ajenda ya Nishati Safi ya kupikia, imemwibua MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara,Abdulrahman Kinana...
2 Reactions
4 Replies
320 Views
Back
Top Bottom