Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na...
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufuatilia...
Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani?
Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawasogezeeeni taratiibuu habari na taarifa hii kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amemteua Mheshimiwa Balozi...
Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba.
Ngeleja japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Kila zama huwa zina nyakati zake. Siku zote lila na fila havitangamani na mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Maandishi haya ya wahenga yanafanya Makonda aendelee kuwa...
KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA,
Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni...
Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama
Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Wadau salaam kwenu
Muhtasari wa habari: Ni wazi sasa kuwa pesa za IPTL (ESCROW account) zatumika kumfanyia Pinda Mizengo kampeni (kumbuka katika hilo sakata, Pinda ndiyo mhusika mkuu).
Habari...
Kwa wale ambavyo angalau ngeri inapanda hebu pitieni kidogo hicho kipande cha gazeti.
===
Serikali inaanza mradi kabambe wa kujenga majengo ya makazi, rasmi na biashara katika nchi kadhaa kwa...
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake
Lissu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge...
Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za...
BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI.
Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji.
Haya...
SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA
Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Haya yamebainishwa na Waziri wa...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu...
Nakumbuka Hata wakati wa UKAWA ni hawa hawa akina Mrema ndio walimfanyia figisu Julius Mtatiro wa CUF kwa sababu ya njaa zao
Sasa kama Chadema kwenye Uchaguzi wa Ndani wanahongana makreti ya Bia...
Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa...
Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Tawala za Mikoa na Setikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.