Ripoti hiyo imeiitaja Dubai kama kitovu cha biashara ya dhahabu ya Afrika, ambayo inasafirishwa kuelekea nchi nyingine ikiwemo Uswisi.
Shirika hilo linakadiria kuwa mwaka 2022, “asilimia 66.5...
Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu...
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁
---
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma...
Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango
Taarifa kamili hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi.
===
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakubwa leo sina mengi ya kuelezea, ila ukweli ni kwamba mkuu wa wilaya yetu ya Kinondoni aliepo ofisini sasa hafai hata robo kuongoza wilaya yetu.
Kila mtu...
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema...
Fuatilia kinachojiri kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, leo Aprili 2, 2024 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ni Mgeni rasmi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Haji Mohamed Haji kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO).
Kabla ya uteuzi huo Haji alikuwa ni...
TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa...
Unapokuwa na Mfumo wa wapiga kura wachache basi jitahidi kuruhusu Wagombea Wengi
Mfano Kura za maoni CCM zinaruhusu Wagombea Wengi kiasi kwamba mpiga kura hajui achukue Rushwa ya nani akatae ya...
WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE NANE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele nane vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25.
Akiwasilisha bungeni...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya...
Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi...
Eti maridhiano. Acheni utapeli.
Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa...
Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu.
Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali...
Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaasa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kuachana na Watu wanaojipendekeza na kuwasifiasifia huku wakiwabebea pochi bali wawaenzi Wachapakazi Wenye utendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.