Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii siyo Kawaida ya Chadema Kabisa hasa makamanda wa hapa Jf akuna Erythrocyte Nilikuwepo mkutanoni na mambo yamezungumzwa mengi sana na Tundu Lisu mwenyewe Pamoja na yule askofu Mwanamapinduzi...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo. Wekeni kichwa haswa pale, mbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
5 Reactions
19 Replies
632 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja...
2 Reactions
84 Replies
2K Views
Leo majira ya saa kumi na nusu kumetokea vurugu hapa CCM mkoani Arusha, baada ya vijana kumtoa Mary Shitanda kwenye mkutano wekiimba hatukutaki ondoka zako. Baada ya kuona watu wanazidi kumzonga...
5 Reactions
376 Replies
37K Views
Tunakumbusha sio kwa ubaya. Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama...
16 Reactions
66 Replies
2K Views
MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge...
42 Reactions
1K Replies
142K Views
Akitoa ujumbe kwenye msiba wa Dr. Mengi, kasema Dr. Mengi hakuwa mbaguzi aliwapenda watu wa makabila yote, wala hakutumia mali zake kuwagandamiza wasionacho. Kasema kuna viongozi, wakubwa, wakuu...
58 Reactions
261 Replies
29K Views
Inawezekanaje mbunge achaguliwe kwenda tu Bungeni kulala kwa miaka yote mitano bila kuleta athari yeyote halafu eti apate tena fursa ya kugombea na kurudi tena bungeni miaka mingine mitano na...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Huu ni utafiti usio rasmi! Yeyote mwenye mashaka aingie "field" kujiridhisha. Watanganyika hawautaki kwa sababu hawakushirikishwa. Rais wao wa wakati huo alijiamulia mwenyewe bila kujali matakwa...
1 Reactions
9 Replies
578 Views
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi na mmiliki wa Shule za Sekondari za Patrick Mission na Paradas Mission ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (M-NEC) Ndugu Ndele Mwaselela...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government) Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP...
0 Reactions
13 Replies
446 Views
MBUNGE TWAHA MPEMBENWE, Aongea na Wananchi wa Nyambangala Kata ya Dimani Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Ally Mpembenwe tarehe 26/5/2024 amefanya ziara katika Kata ya Dimani...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Kwa sasa Chama chako kiko katika wakati mgumu wa mgawanyiko wa nani kiwe upande wake. Kuna timu Mwenyekiti, Lema and the Company, hawa wako na wasi wasi, na hawana imani tena na Timu Makamu na...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu...
2 Reactions
2 Replies
314 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe leo (jana) imemkataa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumwakilisha Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo katika kesi ya madai ya sh.Milioni 96 dhidi yake...
1 Reactions
96 Replies
13K Views
Takukuru Mkoa wa Arusha imesema Watumishi wawili wa Halmashauri ya Jiji La Arusha wanadaiwa kughushi Namba ya Mlipakodi na Kampuni hewa ya kulipia mapato Hii ni baada ya RC Makonda kuagiza...
13 Reactions
68 Replies
5K Views
HUU NI UTABIRI (1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa...
16 Reactions
61 Replies
7K Views
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh...
29 Reactions
96 Replies
5K Views
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
16 Reactions
373 Replies
26K Views
Back
Top Bottom