MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe...
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
Kumekuwepo na taarifa ulimwenguni zinazohusisha nchi moja kuingilia uchaguzi wa nchi nyingine na ku infuence matokeo au uungwaji mkono wa vyama au wagombea..
Hili limekuwa likitokea kwenye...
Top African currencies from the strongest to the weakest as of 15th February 2024 in comparison with the USA Dollar
1 USD =
1. Tunisian Dinar: 3.15
2. Libyan Dinar: 4.85
3. Moroccan Dirham...
Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa...
Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua.
Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio...
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.
1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.
2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero...
Salaam Wakuu,
Kuna baadhi ya Mawaziri wamekuwa wanang'aa sana kwenye vyombo vya habari na kusifika wa kufanya kazi nzuri katika wizara zao lakini majimboni kwao hali ni mbaya sana. Miundombinu...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 34, leo Mei 27, 2024.
https://www.youtube.com/live/IS2dt0MQBRU?si=kftVdtYYt24L5Y1X
Mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya TANESCO...
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mmojawapo wa...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa...
Nimeona clip ya RC Makonda akiwa Longido na kisha yamefuatia malalamiko kutoka Kituo cha Haki za Binadamu pale Kijitonyama na sasa Umoja wa Wanawake wa CCM
Kufikia kesho siyo ajabu tukawasikia...
Idadi ya wageni wanaoshuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), imeongezeka kutoka 300 hadi kufikia 2000. Ongezeko hilo limechangiwa na Filamu ya The Royal Tour iliyoigizwa na...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.
Katika...
William Ruto wa Kenya kachukuwa nafasi ya Cyril Ramaphosa wa South Africa baada ya South Africa kujiunga na Urusi na China kwenye Bricks. Hii imetoa mwanja kwa Marekani kuangalia kiongozi...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MAENDELEO YA MPANGO WA UHAMAJI WA HIARI KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO KWENDA MSOMERA NA MAENEO MENGINE YA NCHI
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji...
Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu.
Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.