Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii ni baada ya kubaki Mgombea pekee , kabla ya Uchaguzi huo Mpinzani wake John Pambalu alitangaza kujitoa Bado haikujulikana sababu ya John Pambalu kujiondoa ====
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwa jina la misaada, Hawa ndugu zetu wanaweza kupenyeza agenda Yao huko. Ni ushauri tu. Kama kweli hatuutaki ushoga vituo hivi vichunguzwe shughuli zao Kwa ukaribu Sana. Na Aina ya misaada...
3 Reactions
12 Replies
894 Views
Yaani Kiongozi mkuu wa Taasisi ya Vijana ya Chadema unajitoa kwenye Uchaguzi dakika za Mwisho?! Hii ni hujuma kwa Wanachama waliopoteza rasilimali zao kukupigia Kampeni Unamtofautishaje Pambalu...
9 Reactions
31 Replies
926 Views
Nimefanikiwa kuona clip ya mkutano wa Makonda katika Wilaya ya Longido kwenye Shule ya Wasichana wa Mama Samia. Kwanza nimpongeze Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa taarifa nzuri na matumizi mazuri...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa...
7 Reactions
94 Replies
2K Views
Jana nilikuwa nafikiria kuhusu demokrasia kama mfumo kuundia serikali nimekuja kujua hauna tija sababu zangu ni hizi 1.mwenye hela na umaarufu anaweza kuwa kiongozi Hapa ni kwamba mfumo...
1 Reactions
2 Replies
287 Views
Salaam, Shalom!! Ni muda sasa tangu RC wa Arusha aingie kwa mbwembwe kama kawaida yake katika maeneo mengi aliyokwenda baada ya kuteuliwa kuongoza, Umati mkubwa wa watu waliokusanyika kumpokea...
17 Reactions
71 Replies
3K Views
Ukitaka kupima nguvu ya Wasanii angalia Sugu anavyokubalika Mbeya, angalia Prof Jay anavyokubalika Kilosa, angalia Babu Tale anavyokubalika Morogoro Lakini zaidi angalia Freeman Mbowe...
3 Reactions
4 Replies
249 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
26 Reactions
137 Replies
10K Views
Kuna mambo mengine ni ya kawaida ila Watanzania hupenda kuyakuza Kwa kampeni wanazofanya wasanii nyakati za Uchaguzi Acha tu wale Mema ya Nchi Nawatakieni Dominica Njema 😄
3 Reactions
7 Replies
362 Views
Ameyasema hayo kwenye kongamano la viongozi wa Africa katika kuadhimisha miaka 20 ya Kamisheni ya Amani ya AU Mjini Dar es Salaam, Tanzania. Sitaki kuongeza maneno, mwenyewe huyu hapa Rais...
17 Reactions
75 Replies
5K Views
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM. Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na...
4 Reactions
17 Replies
946 Views
Luhaga Mpina amemgeukia Waziri Bashe wa Kilimo na kutaka akamtwe na afungwe Kwa uhujumu uchumi kutokana na kile alichoita Kushindwa Kwa utoaji wa mbolea za ruzuku na Ufisadi wa Fedha za Umma...
3 Reactions
17 Replies
944 Views
Wakuu JF Bwaana awe nanyi popote mlipo. Hili andiko fupi sana wakuu. Katika mikukutano kama sio moja amesikika makamu mwenyekiti akilalamika uwezekano wa rushwa ndani ya chama na wengi walibeza...
2 Reactions
13 Replies
561 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imepitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024 ikiwa ni hatua muhimu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 26, 2024 atazungumza na Waandishi wa Habari kufikisha ujumbe kwa Taifa kuhusu masuala mbalimbali. Ni kuanzia 7:30 mchana kwenye Eneo...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM. Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana...
3 Reactions
13 Replies
580 Views
Tunategemea Kupata Madini kuhusu hali ya Uchumi wetu na Ustawi wa Jamii kwa ujumla Tupo hapa mtoni kwa Aziz Ally tunamsiburi tuanze msafara kuelekea MwembeYanga Huu siyo mkutano wa kichama bali...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido. Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na...
33 Reactions
109 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya makanisa Maaskofu wao hupatikana kwa njia ya uchaguzi mfano Anglican church, Sabato, KKKT nk Kiukweli Chaguzi za haya makanisa hazitofautiani Sana na Chaguzi za wanasiasa Hivyo...
0 Reactions
2 Replies
157 Views
Back
Top Bottom