Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.
WABUNGE na...
Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024...
Salaam, Shalom!!
Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo...
Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea.
Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela...
Hiyo ndio hali halisi hadi sasa Wananchi 2000 tu wamechanga takribani tsh million 25
Heri Kutoa kuliko Kupokea, Milango iko wazi kwa wale wote wenye mioyo ya unyenyekevu
Ahsanteni 😄
Credit...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni...
COMRADE KINANA AIPONGEZA UWT KWA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NCHINI
Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA COMRADE Abdulrahman Kinana ameipongeza Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoa mafunzo ya...
Wakati zimebaki takribani siku 12 kuuaga mwaka 2020 waafrika na hususan watanzania wanayo mengi ya kujivuania kutokana na uongozi wa Rais John Magufuli wa miaka mitano iliyopita.
Japokuwa makala...
Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.
1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo...
HUU NI UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA VICTORIA, UCHAGUZI HUO UMEFANYIKA USIKU WA TAREHE 24.05.2024, WAMEPIGANA
KWA KUTUHUMIANA KWA VITENDO VYA RUSHWA.
WAMEANZA KUPIGANA WAO KWA...
MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa...
Binafsi nachukulia vurugu na ndondi zinazoendelea kwenye Chaguzi za Ndani za Chadema kama Ukomavu wa Demokrasia ya Watu kukataa kuburuzwa
Na hiyo ni dalili njema kwa chama cha Upinzani Duniani...
Nipo kwenye mdahalo wa kitaifa wa vijana kuhusu miaka mitatu ya Raisi Samia Hassan na utekelezaji wa ajenda za vijana ......huu mdahalo umeandaliwa na Huyu Mbunge wa viti maalum Nusrat Hanje,mgeni...
Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu.
Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge...
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.
Lakini Cha ajabu...
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya tokea Rais Samia awe Rais wa nchi hii, takribani miaka 3 iliyopita, sijawahi kumshuhudia Rais Samia, akihudhuria shughuli yoyote Ile, iwe ni Kwenye mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.