Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho...
3 Reactions
133 Replies
12K Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya amesema nafasi za ubunge wa Viti Maalum zilianzishwa kwa kipindi cha mpito kutokana na uwakilishi mdogo wa wanawake. Dkt Nkya amesema...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuujulisha umma kuwa hakitashiriki kwenye uchaguzi wa marudio wa Ubunge katika Jimbo la Kwahani ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 08 Juni 2024. Uamuzi huu...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue...
4 Reactions
20 Replies
876 Views
Mawaziri wazee wetu wastaafu wote Warioba na Msuya wamesema tatizo kubwa la Dira yetu ya taifa ni kutokuwa na mfumo wa siasa wa kueleweka. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na mifumo ya vyama vingi...
1 Reactions
4 Replies
344 Views
Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake...
32 Reactions
98 Replies
8K Views
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani, yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo. Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
22 Reactions
185 Replies
21K Views
Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi...
5 Reactions
8 Replies
406 Views
 Ni aibu kubwa mkoa unakuwa na watu zaidi ya 600K na Hospital ya Rufaa lakini inakosa vifaa muhimu kama machine ya CTI Scan ambayo gharama yake haizidi 4B. Mnaridhika kabisa wagonjwa kupewa...
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Je, unafahamu kama RC Meck Sadiki ni Mtumishi na kiongozi Mwadilifu katika Chama na Serikali? Utumishi CCM A. Katibu Wa Chama Wilaya; 1. Liwale 2. Manyoni 3. Iramba B. Katibu Wa Chama Mkoa; 1...
14 Reactions
65 Replies
18K Views
Nafuatilia kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star Tv, kuna mdahalo mkali katika ya Sugu vs Msigwa. Nimejifunza yafuatayo: 1. Upatikanaji wa Viongozi Moja ya vyama vyenye hazina ya...
1 Reactions
4 Replies
683 Views
Enyi mlioamini! Kuweni watu wenye kusimamisha haki, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni juu yenu wenyewe, au wazazi wenu au jamaa zenu karibu. Kama mtu ni tajiri au masikini...
2 Reactions
1 Replies
255 Views
Tunaweza kuweka lawama kwa hili shirika lakini kwa hivi karibuni ndege zake zinatumika sana kwa safari za kiserikali na ambazo sio za kibiashara. Hii mara nyingi husababisha kuchelewa au...
2 Reactions
3 Replies
616 Views
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu . Au...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi. Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee. Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh...
4 Reactions
17 Replies
818 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
20 Reactions
186 Replies
12K Views
Back
Top Bottom