Sisi watanzania, tunalitaka lile kundi la akina mama wa CCM (UWT) lione haja ya kukemea majizi na wachepushaji wa fedha za wananchi.
Kila mahala ukipita lazima ukutane na hadithi ya majambazi...
Huko miaka ya nyuma viongozi walikuwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo ya uongozi waliyo yapata kutoka katika vyuo husika,,mfano husika ni kile Chuo cha CCM Kivukoni.
Huko viongozi walikuwa...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye...
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa...
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na...
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi...
Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha?
Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo...
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani...
Fuatilia matangazo haya ya moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha...
Rais Samia amesema kuna wizi mkubwa unaendelea serikalini na amejionea mkoani Mbeya na ameshaunda timu ya uchunguzi.
Inashangaza Mbeya kuna Mkuu wa mkoa, mkuu wa Wilaya, RSO, DED nk Lakini kuna...
My Take
Hii ndio hasara ya kuanxisha miradi Kwa pupa na Kwa sifa.
Kwa kuwa SGR itakuwa imefika Dodoma, Naunga mkono hoja, huko kwingine isubirie kwanza Hadi Uchaguzi Upite, hata hivyo Haina Tija...
Habari wakuu,. Poleni na majukumu ,
Nianze Kwa kusema kuwa Jimbo la Buhigwe ni Moja ya Jimbo ambalo linapokea Miradi mingi ya maendelo Kuliko wilaya nyingi za hapa Tanzania, na Hii ni kutokana...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe ametoa Simu Janja 7 (Smartphone 7) na vifaa vya Ofisi za UWT kwa Wilaya Saba za Mkoa wa Singida vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Mwandishi nguli wa mambo ya siasa Luqman Maloto ameandika Kitabu chenye Jina la " Kikwete Lowassa ; Urafiki, Ndoa yao ya Kisiasa, Uadui"
Amechambua kwa kina safari ya Wawili hao kwenye siasa...
Kuna chama kilishaanza kampeni isiyo rasmi ya uchaguzi Mkuu 2025, huhitaji kuwaza kujua kuwa hii ni kampeni ya kum-"brand" mgombea wao na kujibrand wao wenyewe ili majina yao yatajwe kila siku na...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge.
Utabiri wangu unaonesha kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema miaka 60 ya Muungano Wenye KERO lukuki Inatosha
Lisu anasema SASA ni Wakati SAHIHI kwa Zanzibar kuwa na Mamlaka yake kamili Ndani ya...
Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe
Imenitafakarisha sana 🐼
Niishie hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.