Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango. Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie. Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la...
19 Reactions
70 Replies
5K Views
Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hizi taasisi za serikali haziko kutatua matatizo ya watanzania, ukitoka Arusha kuelekea Moshi kuna vituo vikubwa km Tengeru, Leganga, Usa-River, Maji ya Chai, Maroroni, Kikatiti. Shida kutoka...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala...
3 Reactions
21 Replies
544 Views
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa. Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji...
26 Reactions
34 Replies
4K Views
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa...
14 Reactions
144 Replies
11K Views
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa 😂 Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri...
1 Reactions
15 Replies
394 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama leo tarehe Mei 25, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Julius...
1 Reactions
2 Replies
464 Views
VIJANA TANZANIA! Kwa Asilimia ndio wengi (65% ya Watu Milioni 49) Na watoto ni wengi zaidi (44% Ya watu Milion 49). Taifa bado ni changa na Uchumi wake bado ni Mdogo mno. Kwa watu Milioni 49...
7 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa...
1 Reactions
3 Replies
498 Views
Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka...
8 Reactions
120 Replies
3K Views
MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka. --- Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike...
1 Reactions
7 Replies
593 Views
Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na...
3 Reactions
19 Replies
595 Views
Back
Top Bottom