Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
SALAMU ZA PONGEZI KWA JOKATE MWEGELO ( KATIBU UVCCM - TAIFA ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Uteuzi wa Jokate kuwa Katibu wa UVCCM ulinisisimua kiasi cha kushindwa kulema lolote kwa...
0 Reactions
4 Replies
644 Views
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi Nakubaliana naye kwa...
1 Reactions
18 Replies
429 Views
Wakati unaomba ubunge ulituahidi mambo mengi sana. Tulikuamini kwa kuwa wewe ni mchungaji yaani mtumishi wa Mungu hivyo hatukujua kama wewe utakuja kutugeuka. Ulituahidi kutuletea boti za...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama...
5 Reactions
21 Replies
507 Views
Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako. Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka...
5 Reactions
7 Replies
456 Views
Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu...
3 Reactions
161 Replies
3K Views
Napendekeza Serikali ianze kuangalia suala la kodi kwenye harusi. Binafsi kwa mwaka nachangia karibu laki sita kwenye shughuli za sherehe za harusi. Huko nakunywa soda zisizozidi 6 na maji madogo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Tulipofika ni pagumu sana unaweza kudhani kuna Watu wanatuongoza kumbe wao ndio wanaongozwa Ijumaa ya Leo tumuombe sana Mungu atufanyie wepesi kama Taifa Jumaa Mubarak 😃🌹
1 Reactions
6 Replies
342 Views
Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili...
10 Reactions
100 Replies
10K Views
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
1 Reactions
2 Replies
528 Views
TANROADS KUWEKA KAMBI BARABARA YA KIRANJERANJE-RUANGWA KUREJESHA MAWASILIANO Huenda Adha ya usafiri na usafirishaji bidhaa inayowakabili wananchi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje kwenda...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Mahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART), Robert Kisena na wenzake watatu waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwemo la...
6 Reactions
108 Replies
17K Views
Kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa gharama za maisha sasa mathalani lita moja ya mafuta ya kula 2015 iliuzwa kati ya tsh 1500 hadi 2200. Leo inauzwa 5500 hadi 6500. Hali hii ni kwa kila bidhaa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni...
14 Reactions
23 Replies
788 Views
Jana 24 May 2024 nimefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali. Mambo niliyokutana nayo kuhusu wakulima yalinitoa machozi. Wakulima wanakutana na adha kubwa sana, gunia...
3 Reactions
15 Replies
575 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
18 Reactions
449 Replies
11K Views
Anonymous (f37c)
Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Unapoona Viongozi wa wakuu wa juu wa Chama cha Siasa ni Vigeugeu katika kauli zao jua kabisa hicho chama ni sehemu tu ya kutafutia mikate yao ya Kila siku. VIjana wa CHADEMA wanaodhani...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
18 Reactions
160 Replies
5K Views
Back
Top Bottom