Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naandika nikiwa na mshangao mkubwa. Makonda ulianzisha sintofahamu nchini kwa kusimama mbele ya hadhara ya nchi na kulitangazia Taifa kuwa Rais anatukanwa mitandaoni, na wanaomtukana rais ni...
0 Reactions
4 Replies
424 Views
Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
1 Reactions
10 Replies
544 Views
Akiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6 Mamia ya...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea...
3 Reactions
154 Replies
10K Views
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo...
68 Reactions
152 Replies
6K Views
NIiwakumbushe tu kitu kimoja, ukiyabeza ya mwenzio ya kwako yatafanywa hivyo hiyo. Nizungumzie kitu kidogo tu cha usafi wa mazingira yetu ambalo lilikuwa ni maono ya kwanza ya JPM alipoingia...
4 Reactions
43 Replies
804 Views
Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana...
35 Reactions
168 Replies
11K Views
Rais Samia Ili kuongeza ufanisi teua naibu Waziri Wakuu 3, patia mikataba ya utendaji kazi ya mwaka 1, watakaoshindwa weka pembeni Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri kwa Mheshimiwa Rais wa...
0 Reactions
6 Replies
362 Views
MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya...
1 Reactions
9 Replies
526 Views
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
34 Reactions
286 Replies
18K Views
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii. CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama. Kwanini kila ufisadi unaibuliwa...
19 Reactions
135 Replies
8K Views
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu...
47 Reactions
139 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema ni kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka "Wale hawana...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huwapiga tuu watu darsa humu, leo naliendesha darasa nikitokea Tanga kwa waja leo, warudi leo. na ni darsa kuhusu muungano wa kweli. Swali ni Je Wajua...
5 Reactions
10 Replies
553 Views
Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na...
4 Reactions
11 Replies
520 Views
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hatuna akili nzuri. Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai? Hapa wakubwa wanahusika! Lililotokea...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuanzia siku za hivi karibuni tumeshuhudia gharama za kutoa kontena bandarini zimepandishwa mara tatu zaidi kuliko ilivyokuwa awali. Kwamba hapo awali gharama za kusafirisha kontena moja kutoka...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
19 Reactions
108 Replies
6K Views
Wale wote waliokuwa wanamuulizia Kiongozi wao wa zamani mahali aliko na anavyoendelea basi sasa bila shaka kiu yao itakwisha Kiufupi ni kwamba mkubwa anaendelea vema tu na wala hana wasiwasi na...
35 Reactions
529 Replies
116K Views
Back
Top Bottom