Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Huyu bwana ni Mzanzibar ameuliza maswali muhimu kwa Watanganyika.Hivyo basi nami,nimeleta kwenu GT kupata majibu ili tuweze kumbaini mchawi wetu alikuwa nani juu kuuzwa kwa Tanganyika yetu...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
MABADILIKO YA SHERIA YA MADINI YAWANUFAISHA WATANZANIA - MAVUNDE - Kampuni za Watanzania za Kutoa Huduma na Kusambaza bidhaa zaongezeka. - Ajira rasmi 18,853 kwa Watanzania. - Chini ya uongozi...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano. Haipo kikatiba Haipo kisheria Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha...
19 Reactions
132 Replies
6K Views
TANROADS LINDI YAREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA KILWA MASOKO-NANGURUKURU-LIWALE Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi umefanikiwa kurejesha mawasiliano yaliyokuwa yamekatika kati...
0 Reactions
11 Replies
612 Views
Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"! Wazee wetu walioushuhudia muungano...
6 Reactions
14 Replies
446 Views
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Maonesho Ya Kumi Ya Uvumbuzi, Yanayotambulika Kama, "Innovation for a Competitive Economy", Yaliyoandaliwa Na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP). Kwenye...
1 Reactions
1 Replies
268 Views
Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264. Majimbo haya 264 ambayo walichagua...
3 Reactions
22 Replies
933 Views
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje? wale hawajajiweka pale there is...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Wajf imani ikatawale popote mlipo. Andiko langu litakua fupi Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya...
3 Reactions
17 Replies
800 Views
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala "Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
2 Reactions
25 Replies
820 Views
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi...
15 Reactions
71 Replies
5K Views
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
11 Reactions
80 Replies
7K Views
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda...
7 Reactions
83 Replies
2K Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee. Hakuna namna ya...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Back
Top Bottom