Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi, Wakati tukijiandaa rasmi kuingia kwenye serikali 3, tutake tusitake, lazima tutarudi nyuma kuungazia muungano wetu, na kabla hatujaingia katika serikali tatu, lazima kwanza tuwe na...
4 Reactions
82 Replies
14K Views
Wanabodi, Wakati tukiendelea na mjadala wa serikali 3 kuelekea kwenye katiba mpya, uoga mkuu kuhusu uwepo wa serikali 3, ni tishio la serikali tatu kuudhoofisha muungano hatimaye kurisk...
9 Reactions
47 Replies
6K Views
Wanabodi, Wakati mchakato wa kelekea kwenye Katiba Mpya unakwenda vizuri na sasa ni wazi tunaelekea kwenye serikali tatu, baada ya miaka hii 50 ya Muungano uliozaa Taifa la Tanzania, tufike...
8 Reactions
51 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka amewataka watumishi wa serikali kuachana na kulalamikia kikokotoo wakati umri wao wa kustaafu bado haujakaribia, na wajikite katika kufanya kazi kwa bidii...
3 Reactions
70 Replies
2K Views
Magufuli aliamini mapambano dhidi ya rushwa ni kuunda mahakama maalum. Lakini alisahau kwamba wala rushwa na watoa rushwa ni watawala na siyo wananchi. Wakati anatawala watawala waliokuwa...
3 Reactions
10 Replies
539 Views
Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza... Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na...
1 Reactions
8 Replies
586 Views
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
10 Reactions
60 Replies
1K Views
Mwalimu, kwa viwango na kipimo chochote kile, alikuwa kiongozi mwenye upeo na uelewa mkubwa kuliko Rais yeyote aliyefuata baada yake. Alifanya mambo makubwa sana kwa kuzingatia wakati wake. Kosa...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa. Zitto Kabwe amekubaliana...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Hotuba ya Bajeti. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb). Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Zama za Zitto Kabwe zimefika ukomo Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Uongozi wake hautafuata mambo ya mstaafu Zitto Kabwe bali atatumia utaratibu na mifumo yake katika kukivusha...
2 Reactions
6 Replies
724 Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
29 Reactions
284 Replies
9K Views
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
30 Reactions
189 Replies
5K Views
Benki ya Dunia imesema itapotia upya masharti ambayo yalikuwa yanawanyika wakandarasi wa ndani kupata fursa ya kazi na kupendelewa wageni kwenye miradi ya Fedha za Mkopo kutoka Benki hiyo...
0 Reactions
5 Replies
648 Views
Rais Samia ameamua Kuwabeba Wakandarasi wazawa mabegani mwake Ili kuwafanya matajiri ambao watakuwa injinia ya uchumi Nchini. Hayo yamebainishwa na Waziri Bashungwa wakati wa kikao cha...
7 Reactions
68 Replies
3K Views
Leo tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali katika ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Angalia hii video ukifika mwisho tushauriane on-line.
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
15 Reactions
122 Replies
4K Views
20 May 2024 Ikungi, Singida Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8 Msemaji wa...
13 Reactions
64 Replies
4K Views
Hapa nataka kuwauliza watunga Sera na Vyama vya Siasa..., ila kabla ya yote kwanza ninanukuu Babu wa Chama Tawala cha Sasa kilivyosema na kilivyokuwa kinaamini.... (Extract kutoka Hotuba ya...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Back
Top Bottom