Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WAZIRI AWESO ABAINISHA MIRADI YA MAJI ILIYOKAMILIKA NA INAYOENDELEA "Wizara ya Maji imekamilisha miradi mikubwa na ya kimkakati ikiwemo mradi wa maji Arusha ambao umeongeza uzalishaji wa maji...
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti...
15 Reactions
148 Replies
11K Views
Inaelezwa kuwa Mradi mkubwa wa kuvuna gesi asilia wa Lindi LNG huenda ukaota mbawa na kuyeyuka kufuatia mkwamo Mpya uliosababishwa na milolongo ya majadiliano isiyoisha ambapo timu Mpya ya...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu kwema, Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo...
9 Reactions
134 Replies
6K Views
Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000 Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000 1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000 2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000 Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000...
2 Reactions
1 Replies
700 Views
Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba...
4 Reactions
8 Replies
912 Views
Taasisi ya elimu imeacha jukumu lake la msingi la kutunga na kusimamia mitaala sasa imejawa na uroho na tamaa ya fedha na biashara haramu. Wanalazimisha shule binafsi zitumie vitabu vyao ambavyo...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Unadhani Freeman Mbowe hakuwa na ile faini ya kumtoa Jela? Unadhani mchungaji Msigwa mshahara wa ubunge usingemwezesha kutoka Jela hadi familia yake ikapeleka bakuli kwa Shujaa Magufuli Ili aokoe...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph...
4 Reactions
65 Replies
3K Views
Kutokana na kupanda kwa joto la siasa nchi, hasa ukizingatia ujio wa chaguzi, mabadiliko ya Sheria ya uchaguzi na madai ya tume huru kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa. Pia mfupa mgumu ambao...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Dr Kigwangalla ni kama Mganga wa Kienyeji Wakati mwingine huongeaga kinyume chake Najua Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe anaweza kukwazika kwa kuitwa Ayatollah au Kabaka na huyu Kigwangalla lakini...
4 Reactions
5 Replies
343 Views
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards. Kwenye...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza...
5 Reactions
67 Replies
2K Views
Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana...
0 Reactions
2 Replies
296 Views
TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
302 Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
15 Reactions
180 Replies
13K Views
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
26 Reactions
98 Replies
5K Views
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika) 👉🏽...
88 Reactions
324 Replies
23K Views
Back
Top Bottom