ROSTAM ABDURASOOL AZIZ Imetosha Sasa!
Labda Kilichomponza Mtikila ni kitendo chake cha kuandika kijarida kilichobeba anuani "Hatima ya Mwajemi Sakarir" alichokitoa mwezi juni mwaka 2008, ambacho...
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.
Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na...
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.
Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge
Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti...
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji.
Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu...
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe...
Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe.
Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua...
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari...
Ikiwi Zitto ataamua kuacha kugombea Ubunge Kigomo Mjini Kuna vita kubwa ya nani atakuwa mrithi wake, huku ikionekanwa kuwa tayari Zitto ameshamuanda kipenzi chake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) kesho Jumatatu Mei 20, 2024 ataanza ziara mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua shughuli...
Mnyukano wa kimjadala uko ukurasani X ambapo Mjumbe wa CC ya ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amesema wao hawana Wivu na Tundu Lisu kununuliwa Gari mpya na Wananchi
Ni hilo tu
Ahsanteni 😂😂😂😂
Salaam Mhe. Tundu lissu, Natumaini unaendelea vema. Mhe. Tundu lissu nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania ninayekupenda na kukufatilia sana.
Naamin kabisa katika siasa za Tanzania wewe...
Hii ndio Taarifa ya hivi karibuni kwamba Wananchi wa Manyoni wameomba hiyo Gari izungushwe nchi nzima kisha iwekwe Makumbusho ya Taifa
Viongozi wa Chadema walio Kwenye msafara wamelipokea...
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua na...
KITENGO MAALUM KUANZISHWA KWAAJILI YA KUSIMAMIA MIKOPO YA 10%
Naibu Waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimami...
Katibu mkuu wa wazazi ndg Ally Hapi yupo katika mgogoro mkubwa na viongozi wa jumuiya hiyo- Tarifa zilizopo ktk mwezi mmoja amekwapua hela nyingi kwa mambo binafsi; mbabe na haheshimu viongozi...
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dr.Michael Battle amesema ni Dhambi na sio sawa kimaandiki Kwa Nchi yeyote iwe Marekani au China kuja Nchini mwenu na kuchukua Rasilimali Kisha kwenda...
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko.
CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu...
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki
Mwita Waitara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.