Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
Pamoja na mambo Mengine kwenye viwanja vya furahisha Mwanza Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amewaagiza wananchi kumpigia simu Spika huyo ili kumlazimisha awaondoe Bungeni wabunge 19 maarufu...
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma
Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko.
Hayo yameelezwa...
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na...
Makamu wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake kikishika Dola basi Zanzibar itapewa Mamlaka yake kamili
OMO amesema kuna mambo yanafanyika kwenye muungano kwa hisani tu ila ni...
Usikose Kufuatilia Mubashara, leo Jumatatu.
Hotuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itakayosomwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa...
Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu
REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe...
Inashangaza na kustaabisha kuona MAKADA wa CCM wakiteseka sana na UENYEKITI wa KAMANDA MBOWE. Najiribu kujiuliza ni UJINGA wa Hao MAKADA kuacha kuhangaika na CHAMA chao na kuhangaika na UENYEKITI...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani...
Waziri wa Serikali ya awamu ya 5 na Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kupanda kwa Bei za Uchukuzi kutaathiri uchumi wa Wafanyabiashara wenye mitaji midogo
Kigwangalla amesema Haya...
UTANGULIZI
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam almaarufu kama DIT ni moja ya vyuo vikongwe sana hapa nchini, chuo hiki kimetoa wataalamu mbalimbali kuanzia mafundi mchundo mpaka wahandisi katika...
Tanzania ni lango kuu la kupokea,kisafirisha mizigo inayoingia na kutoka ktk nchi takribani 7.Uwekezaji mkubwa ktk bandari zetu na miundombinu ya Reli,barabara,Mabomba na anga ni ushahidi tosha wa...
Wasalaam Jf,
Vijana Wakizalendo bila kujali itikadi za vyama vyao wametoa tamko kwa kile kinachosemwa na Upinzani kuwa ni maridhiano baina yao na CCM Tanzania.
Akizungumza na Waandishi wa...
Habari zenu, Giving back to the community ni program moja nzuri sana ya kuirudishia jamii au kuwafanyia jambo jamii kwa kujitolea, tumekua tukiona baadhi ya makampuni wakifanya donation au charity...
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na...
HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAGANA NA BUNGE NA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE...
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar.
Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na...
Habari Tanzania,
Kama barua iliyoandikwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Mafunzo & Uenezi Cde Amos Gabriel Makalla inavyojieleza.
Tuendelee kuiombea CCM kwani ni hakika bila CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.